Kwanini alama za Keyboard huchanganywa?

Keyboard zina Language. Ukilijua hilo hautapata tena shida.

Mfano Keyboard uliyopost hapo Language yake ni English US tena extended.

Language ya English UK hiyo @ inakuwa huku kwenye Enter.
Asante nimekuelewa
 
[emoji38],Poa nimekuelewa ngoja nikikwama nitakupigia ukiona namba namba inaishia na 00 pokea
 
Unaweza kuwa na jibu lakini sijakuelewa hasa nini unakusudia kusema,

Kwanini vitufe vyevye alama husika vikibonyezwa hutoa alama tofauti na iliyokusudiwa?anayechanganya keybord layout ni nani sasa?

Kwanza kwenye kuinstall OS huwa kunakuwa na Option ya kuchagua Layout ya Keyboard.

I think hapa ndio wengi wanamess up.

Kwa OS kama Linux unapoinstall huwa inakuwa ni rahisi kuselect layout sahihi kwa sababu huwa kuna maswali wanakuuliza ambayo yatapelekea uchague Layout ambayo ni sahihi.

Hiki kitu kwenye OS za windows sijakiona.
 
Nimeanza kuelewa,sasa Keybord layout ya Tanzania ni ipi? na kwanini wanaoleta huku wasibadili kabisa.
Mbona kwenye simu hilo tatizo halipo?
OS nyingi mda wa installation huwa wanakuuliza uchague aina ya layout Sasa sema sisi Watanzania wengi huwa hatupendi kusoma badala yake unaipa tuu next mwisho wa siku ndio yanakuwa hayo.
 
Ok
 
OS nyingi mda wa installation huwa wanakuuliza uchague aina ya layout Sasa sema sisi Watanzania wengi huwa hatupendi kusoma badala yake unaipa tuu next mwisho wa siku ndio yanakuwa hayo.
Hapo nimekusoma
 
Tatizo linaanzia kwenye keyboard language, ukiset UK utapata alama zote lakini zikiwa tofauti na ziada utapata alama ya #. Ukiset US utapata alama zote kulingana na zilivyopangwa ila hakuna alama ya #.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…