hapo ndio sijajua labda tusubiri wataalamuSasa shida huwa nini,maana hata ukinunua computer leo utakuta hilo tatizo ?
hardware ya keyboard ni ileile, utofauti ni OS inavyo tafsiri izo key-press
kuna keyboard layout standards, ya US tofauti na UK hasa kwenye izo special characters, baadhi zimekua swapped
kwa windows kwenye setting (Control Panel\Clock, Language and Region\Language\Language options\Input method) unaweza chagua layout
sikumbuki vizuri, jaribu zote alaf sikiliziaKwahiyo hii yenye @ at no# 2 ni layout ya us au uk?
Tatizo hapo ni Keyboard layout configurations: Kuna baadhi ya nchi character ya @ inakaa pale kwenye 2 na nyingine character hiyo karibu na enter button. Sasa unatakiwa kubadilisha layout ya keyboard yako! Na unaweza ukawa na layout zaidi ya moja ukawa unabadilisha kadiri ya mahitaji...... kwa mfano swedish layout haina kabisa character @ ingawaje wewe utaiona katika keyboard yako lakini haitoandika hiyo character mpaka ubadili keyboard layout.Heri ya mwaka mpya wakuu,
Kuna tatizo nimekuwa nikikumbana nalo katika kutumia computer(Desktop au laptops).
Ni kwamba kuna alama ukitaka kuitumia unaiona imeandikwa kwenye kitufe Fulani lakini ulibonyeza unakutana na alama tofauti na uliyokusudia mfano.
Mara nyinyi alama ya @ huwa inaonekana kwenye button za mstari wa pili kutoka juu kwenye mstari wa namba,mara nyingi huwa kwenye button namba 2 lakini computer nyingi nilizowahi kutumia ukibonyeza hio button hupati hio alama,utaikuta kwenye vialama vingine katikati huko kama vya semicolon [;] au [??] ,ni alama nyingi tu huchanganywa,wakati mwingine alama # na zinginezo kutegemea na Keyboard husika.
Sasa nauliza kuna sababu yoyote ya msingi kwanini alama hizi huchanganywa au ni uzembe wa watengenezaji tu? na kwanini hawarekebishi?
Je Computer unayotumia ina tatizo hili?View attachment 2073234
sikumbuki vizuri, jaribu zote alaf sikilizia
Unaweza kuwa na jibu lakini sijakuelewa hasa nini unakusudia kusema,hardware ya keyboard ni ileile, utofauti ni OS inavyo tafsiri izo key-press
kuna keyboard layout standards, ya US tofauti na UK hasa kwenye izo special characters, baadhi zimekua swapped
kwa windows kwenye setting (Control Panel\Clock, Language and Region\Language\Language options\Input method) unaweza chagua layout
layout inatafsiriwa na windows OS, key flani itoe character flaniUnaweza kuwa na jibu lakini sijakuelewa hasa nini unakusudia kusema,
Kwanini vitufe vyevye alama husika vikibonyezwa hutoa alama tofauti na iliyokusudiwa?anayechanganya keybord layout ni nani sasa?
Nimeanza kuelewa,sasa Keybord layout ya Tanzania ni ipi? na kwanini wanaoleta huku wasibadili kabisa.Tatizo hapo ni Keyboard layout configurations: Kuna baadhi ya nchi character ya @ inakaa pale kwenye 2 na nyingine character hiyo karibu na enter button. Sasa unatakiwa kubadilisha layout ya keyboard yako! Na unaweza ukawa na layout zaidi ya moja ukawa unabadilisha kadiri ya mahitaji...... kwa mfano swedish layout haina kabisa character @ ingawaje wewe utaiona katika keyboard yako lakini haitoandika hiyo character mpaka ubadili keyboard layout.
Kwa kifupi ni suala la configuration na sio hardware
swala la kubadili hata wewe unaweza badili mkuu ni nshu za setting tu.Nimeanza kuelewa,sasa Keybord layout ya Tanzania ni ipi? na kwanini wanaoleta huku wasibadili kabisa.
Mbona kwenye simu hilo tatizo halipo?
Asante, kwahio setting unaifanya kwenye language?swala la kubadili hata wewe unaweza badili mkuu ni nshu za setting tu.
language input ikiwa ni US ndo utapata hiyo shida lakini ukiweka UK mambo yanakaa sawa tu yaani kama LHD na RHD
sijui computer vizuri ila Kama ni window 10 bonyeza start (window panel) utaona nukta tatu juu ukizi open angalia chini utaona settings fungua hiyo then nenda sehemu wameandika time and language then choose region & language hapo sasa weka English (United states) hiyo ndo itakaa sawa kwa hizi keyboards zetu.Asante, kwahio setting unaifanya kwenye language?
Heri ya mwaka mpya wakuu,
Kuna tatizo nimekuwa nikikumbana nalo katika kutumia computer(Desktop au laptops).
Ni kwamba kuna alama ukitaka kuitumia unaiona imeandikwa kwenye kitufe Fulani lakini ulibonyeza unakutana na alama tofauti na uliyokusudia mfano.
Mara nyinyi alama ya @ huwa inaonekana kwenye button za mstari wa pili kutoka juu kwenye mstari wa namba,mara nyingi huwa kwenye button namba 2 lakini computer nyingi nilizowahi kutumia ukibonyeza hio button hupati hio alama,utaikuta kwenye vialama vingine katikati huko kama vya semicolon [;] au [??] ,ni alama nyingi tu huchanganywa,wakati mwingine alama # na zinginezo kutegemea na Keyboard husika.
Sasa nauliza kuna sababu yoyote ya msingi kwanini alama hizi huchanganywa au ni uzembe wa watengenezaji tu? na kwanini hawarekebishi?
Je Computer unayotumia ina tatizo hili?View attachment 2073234
Hapa umemaliza.hardware ya keyboard ni ileile, utofauti ni OS inavyo tafsiri izo key-press
kuna keyboard layout standards, ya US tofauti na UK hasa kwenye izo special characters, baadhi zimekua swapped
kwa windows kwenye setting (Control Panel\Clock, Language and Region\Language\Language options\Input method) unaweza chagua layout
Layout ya US hiyo...Kwahiyo hii yenye @ at no# 2 ni layout ya us au uk?