Kwanini ajira zimekuwa ngumu?

Kwanini ajira zimekuwa ngumu?

Mbogho wa 4

Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Habar wana JF.

Ni matumaini yangu yu wazima japo si wote, tulioamka hivyo ila nia na madhumuni ya kushusha kamba hii inasikitisha kuona LUNDO la vijana mtaani hawana kazi je! Nikweli hawapendi kufanya kazi? Au kazi za kufanya hakuna?

Kinachosikitisha zaid kila mwaka vijana wanahitimu masomo wengi wao huingia mtaani kuangalia upepo wa maisha umelalia wapi then wanafata.

nimekaa na raia wengi na kuhoji matatizo yao japo wengi matatizo yao yanafanana kilio chao kikubwa ni kwamba AJIRA HAZIPATIKANI wapo wengi hupita vyuo kusomea fani mbali mbali mf:VETA kuna fani nyingi ila unapomaliza kozi inakuwa ni vigumu kuja kupata ajira swali ni hivi je kazi ni kuajiliwa tu? Ama hata kujiajiri ni kazi pia?

Kama kujiajiri ni kazi pia ya kupiga hatua kimaendeleo je! MITAJI wanapata wapi?
 
Wakienda kukopa waambiwa hawana vigezo...wakiomba kazi waambiwa hawaajiriki.....eti utakuta mwanasiasa lizee lizima linawaambia vijana "wajiajiri" wakati yeye miaka 30+ ameshikiria kiti cha ubunge + uwaziri na hawajawahi hata kufungua duka la mpesa, tigopesa na mtaji anao wa kutosha.....

"siasa mbovu imeleta umasikini siasa mbovu imeongeza janga la ajira"
 
kweli kabisa mkuu
 
nina wazo lako apo sasa... toa solution Mbogho wa 4................:cheer2: mf:VETA kuna fani nyingi ila unapomaliza kozi inakuwa ni vigumu kuja kupata ajira swali ni hivi je kazi ni kuajiliwa tu? Ama hata kujiajiri ni kazi pia?.. Kama kujiajiri ni kazi pia ya kupiga hatua kimaendeleo je! MITAJI wanapata wapi?...
 
Vijana tubadilikeni tukifanya makosa tena ndani ya miaka kumi ijayo tutapata adhabu kama hii tuchague viongozi wanajali vijana
 
Twendeni tukasomee ualimu ajira moja kwa moja Tanzania inahitaji walimu hasa wa advance na sayansi hili ndio tunda tamu aliloliacha jk. Ukiwa kazini mkopo unabembelezwa njoo ukope lakini ukiwa mtaani nani akukopeshe uibe bure huo wa chuo tu huna mpango wa kuulipa
 
Hata ualimu nao ni bahati nasibu..baadhi ya majina hata 3rd draft hayajatoka😊
 
Huku kuna unafuu ndugu Tz walimu hawatoshi hasa sayansi na hisabati ndio maana serikali imeweka kiapumbele kumwaga mikopo ktk fani hizo habari ya kupigana interview tutakufa na maradhi ya moyo. Muhimbili wamefungua kituo cha maradhi ya moyo wakidai maradhi ya moyo yameongezeka kwa vijana
Hata ualimu nao ni bahati nasibu..baadhi ya majina hata 3rd draft hayajatoka
 
kbmk unataka hii nchi iwe na walimu tu ..?
Vijana wengi walikuwa na ndoto baadae ya kuwa either madaktari,engeneer, lawyers etc kwa kuwa miaka mingi serikali imeshndwa kusimama miguu miwili katka elimu ya juu ndo zao la ukosefu wa ajira.
 
Last edited by a moderator:
Mfumo unakusuma usome usichopenda kukisoma .
Ni janga kwa maendeleo ya taifa masikini kama Tanzania.
 
Uwezo wa kufikir kwa viongoz wetu ndo tatizo, hawaonekani kuwa serious na suala la ajira, pili vijana wengi hawajiwez japo wanadegree zao ni vigumu kujiajiri, ubishi mwingi vyote hivyo ni vikwazo
 
Tatizo la ajira ni dunia nzima nmechangia kwa anae taka shortcut serikali imemwaga nafasi kuhusu kushindwa kwa vijana kuwa madaktari nk hiyo ni juhudi binafsi afaulu kiwango kinachotakiwa ata timiza ndoto zk

Back
Top Bottom