Una kundi la watu kama
Tlaatlaah,
Lucas Mwashambwa,
ChoiceVariable ,
chiembe nk unadhani kweli utakuwa na taifa lenye maendeleo mkuu? Hwa ni sample tu, ila wengi wetu tupo kama hawa jamaa ni a different version. Nchi za Africa ni ngumu sana kuwa na maendeleo, greediness, theft, incompetence nk hayamambo hayawezi kutuacha salama.