Kwanini Afrika sehemu kubwa haiendelei?

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,405
Reaction score
12,707
Sehemu kubwa ya bara la Afrika haiendelei kwa sababu Afrika imejaza watu wengi wajinga sana waliopindukia.

Afrika ni bara lenye watu wengi wajinga wajinga sanaaaa.

Afrika kuendelea ni ngumu kama bado ujinga sugu upo.

Hawa wajinga sugu utawakuta katika ngazi ya familia mpaka serikalini.
 
Ukoloni mambo leo, dini, uvuvu, ukosefu wa maarifa ya kutosha, ukosefu wa mitaji, ukosefu wa maarifa sahihi ya utunzaji wa rasilimali fedha, muda na rasilimali watu. Pia wizi na ubadhirifu ni adui wa maendeleo
 
Waafrika Wana roho mbaya wa binafsi sana
 
Uvivu,tegemezi ,ufinyu wa akili na tamaa kwa baadhi ya viongozi
 
Sisi ni ma ng'ombe bro.angalia hata contents tunazopenda mitandaoni hakuna mijadala yenye afya
 
Itaendelea vipi na wakati mpaka leo bado inawakumbatia viongozi na watawala aina ya Mangungo!! Kuwa na raslimali za akila aina halafu ukakosa watu wenye damu ya uzalendo, wenye maono na maarifa; hakika ni kazi bure.
 
Hatujatawaliwa vyakutosha.. ilitakiwa tutaealiwe mpaka miaka ya 2780 huko ndo watupe uhuru. Akili zetu hazijatanuka kabidaaa...
 
Ukoloni mambo leo, dini, uvuvu, ukosefu wa maarifa ya kutosha, ukosefu wa mitaji, ukosefu wa maarifa sahihi ya utunzaji wa rasilimali fedha, muda na rasilimali watu. Pia wizi na ubadhirifu ni adui wa maendeleo
In short ni ujinga na upumbavu tu
 
RACE ya mtu mweusi ni ya kuonea huruma aisee upande wa kichwani Mungu aliweka ugali badala ya Ubongo ndoo maana mpaka leo Africa inahangaikia chakula
 
uropokaji na mihemko yenu haina nafasi katika Demokrasia na maendeleo ya Taifa letu Tanzania gentleman
ambao hamuendelei ni ninyi waropokaji na wavivu wachache tu ambao kazi ni kulalamika tu.

hata muibue makasiriko ya namna gani Tanzania itabaki moja, na amani ya Tanzania italindwa kwa nguvu na gharama yoyote ile regardless ya mayowe nonsense kama hayo gentleman πŸ’
 
Hela za matundu ya vyoo ni kwa hisani ya watu wa marekani, hela ya uchaguzi ipo tena hadi ziada...hizi ndio akili zenu.
 
Hela za matundu ya vyoo ni kwa hisani ya watu wa marekani, hela ya uchaguzi ipo tena hadi ziada...hizi ndio akili zenu.
hisani ni hiyari yako na sio Lazima,

toa kwa ukarimu na kamwe usitegemee fadhila πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…