Kwanini Afrika ni masikini?

Kwanini Afrika ni masikini?

Ukiwa na ushawishi kwa masikini wenzio huwezi kuitwa superpower
Ustadh, kuna nchi ndogo za Ulaya zina ushawishi mkubwa hadi kwa mataifa makubwa ya dunia na kwenye taasisi za kimataifa lakini siyo Super Powers.

Nchi kama Norway, Finland, The Vatican na Denmark zina ushawishi mkubwa sana siyo Ulaya tu Bali hata duniani kote. Hizi unaziweka kwenye kundi gani ?

Au nchi ikishakuwa na Uchumi mkubwa basi hiyo ishakuwa ni Super Power tayari ?
 
Wapinzani wanachangia Africa kuwa maskini Kwasababu wanatumika na Mabeberu kuharibu Amani na utulivu wa Nchi za kiafrica
Afrika ilikuwa na kipindi kirefu bila wapinzani (isipokuwa hao waliofungwa gerezani au kukimbia nje ya nchi zao) , hapa kuwa na vyama vingi maana kote chama kimoja pekee.
Kumbe utulivu kama kaburini, hakuna aliyewasumbua watawala kuchota utajiri wa nchi na kuipeleka benki za nje.
Wakati wa uhuru Tanganyika ilikuwa na uchumi bora kushinda Malaysia, baada ya miaka 30 ya chama kimoja - nyuma kabisa.
 
Sijakupata nukta yako msingi khasa, Asante kwa maoni yako
 
Nikmajibu aliyesema "Wapinzani wanachangia Africa kuwa maskini ". Ambayo haina uthibitisho. Maana miaka kadhaa iliyopita nchi karibu zote za Africa zilitawaliwa na madikteta na mfumo wa chama 1, pasipo na upinzani. Kipindi kile kiliongeza umaskini barani.
 
Ok
 
Kwa sababu nchi nyingi za kiafrica zina tawaliwa na viongozi wenye mawazo kama ya jiwe.
Nchi kuendelea sio viongozi tu...hata wewe mwananchi.

Kwani hawa viongozi wa kiafrika tunawatoa Jupiter? Si miongoni mwetu.
 
Kama taifa lina watu wenye mawazo mgando hivyo ni lazima hata viongozi wake wawe wenye mawazo mgando maana,haiwezekani tukawa tunapata viongozi waliyo tofauti na sisi tulivyo.
Thanks.
 
Nchi kuendelea sio viongozi tu...hata wewe mwananchi.

Kwani hawa viongozi wa kiafrika tunawatoa Jupiter? Si miongoni mwetu.
Mimi nashangaa sana watu wanaangalia viongozi tu na kuacha kuangalia wananchi nao pia wakoje,haingii akilini kudai kwamba afrika nzima matatizo yetu ni viongozi tu kana kwamba hao viongozi huwa tunaletewa tu kusikojulikana lazima tukubali na sie wananchi ndiyo kwenye matatizo yanapoanzia.
 
Mwananchi masikini kumuwajibisha hapa ni kumuoñea tu, Kwanza kura yake haina athari yeyote katika maamuzi
 
Kwanza tunachokisema ni kwamba hawa viongozi wetu hutokea humu humu kwetu(wananchi maskini) na si kwamba huwa tunaletewa viongozi kutoka sayari nyengine bali ndio sie sie mimi na wewe.

Na unaposema kura ya mwananchi maskini haina athari unakuwa na maana gani?
 
Namaanisha mtu hachaguliwi na Yale maigizo ya kupotezea watu muda ya kupiga kura Bali watu wachache kwa muongozo wa wakoloni huamua chama gani kitawale.
 
Mimi nashangaa sana watu wanaangalia viongozi tu na kuacha kuangalia wananchi nao pia wakoje,haingii akilini kudai kwamba afrika nzima matatizo yetu ni viongozi tu kana kwamba hao viongozi huwa tunaletewa tu kusikojulikana lazima tukubali na sie wananchi ndiyo kwenye matatizo yanapoanzia.
Tatizo letu ni mfumo kandamizi wa kibepari ambao unatunyonya ukitumia mawakala wa wakoloni tunaoaminishwa kuwa eti tumewachagua wenyewe
 
Back
Top Bottom