Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 2,176
- 4,097
Unadhani kwa nini tunafeli kwenye hii sekta?Aiseeee! Hizi akili ni mbovu kwa kweli.
Jana nilikua naangalia documentary moja inahusu Sinaloa drug Cartel Mexico huko. Sasa jamaa walikuwa wanaonyesha namna mmea wa Opium unavyolimwa kisha kuvunwa, kuchakatwa hadi product inapatikana.Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi kubwa kubwa, na hali ya hewa ya kufaa kabisa kuzalisha madawa. Tumekwama wapi kwenye hii sekta?
Sina cha kukujibu, huko ni kuangamiza taifa.Unadhani kwa nini tunafeli kwenye hii sekta?
Umetoa wazo zuri sana.Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi kubwa kubwa, na hali ya hewa ya kufaa kabisa kuzalisha madawa. Tumekwama wapi kwenye hii sekta?
Nadhani hofu ni intelijensia za nje zikifahamu hili unless kuwepo na off site clandestine company yenye kupewa fedha na Financial Intelligence Unit ili kuzalisha na kuuza kwa siri sana pengine kuteka soko lote la Afrika mashariki na kusini.Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi kubwa kubwa, na hali ya hewa ya kufaa kabisa kuzalisha madawa. Tumekwama wapi kwenye hii sekta?
Ndio hatuzalishi lakini wanaofaidika kwenye hii biashara ni waislamu ndo maana wanaongoza kwa utajiri nchini.Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi kubwa kubwa, na hali ya hewa ya kufaa kabisa kuzalisha madawa. Tumekwama wapi kwenye hii sekta?
Arusha, Mara, Morogoro kote huko zinatoka bangi zinasifika nchi nzima, au siyo dawa la kulevya 🤣Afghanstan wanapata mabilioni ya dola kwa kuuza heroin(Kasumba/afyuni🤣). Nchi za South America zinapiga mabilioni kwa kuuza cocaine. Afrika kuna rushwa kali, waasi kila kona, serikali dhaifu, nchi kubwa kubwa, na hali ya hewa ya kufaa kabisa kuzalisha madawa. Tumekwama wapi kwenye hii sekta?
Afrika ni bara la siri unawezakudhani hatuuzi kumbe tunauza sanaNdio hatuzalishi lakini wanaofaidika kwenye hii biashara ni waislamu ndo maana wanaongoza kwa utajiri nchini.
Pakome gallow bird Malaria 2 kahtaan THE BIG SHOW
adriz de mbusii
Hivi nchi za Afrika kwenye masoko ya kuuzwa madawa ya kulevya zipo?Tokea lini soko likazalisha matikiti?
Hivi nchi za Afrika kwenye masoko ya kuuzwa madawa ya kulevya zipo?
Hela tunayo?
Kwani bangi sio madawa ya kulevya kwenye sheria zenu.
Kuna mda mwengine naona kama unasahau
Hata madawa ya hospital ni madawa ya kulevya unafahamuKuruhusu Bangi TZ.
Inabidi tuanzie kuona mfano wa Kenya.
Kenya wameruhusu mirungi.
Ila Tanzania imekataza.
Sheria hizo zote 2 zinatakiwa kuangaliwa utofauti wake kwenye nyanja za kimaendeleo kiuchumi na kijamii ili kujua matokeo gani yameleta chanya.
Ila Binafsi waruhusu tu bangi ilimwe na itumike. Na iuzwe kibiashara.
Nafaham. Hasa haya ya Usingizi na kutibu matatizo ya akili.Hata madawa ya hospital ni madawa ya kulevya unafahamu