Habari zenu,
Napenda kuuliza kwa mwenye ufahamu kwa nini AdSense huamini clicks zaidi kutoka AMERICA, mfano kuna account moja USA earned dollar ni 72 ,Tanzania 5.2 dollar lakini clicks za TZ zimefutwa, why?Mwenye ufahamu tafadhali