Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,453
- 25,167
Umeona eeeh balaa tupu full kunyanyaswaKama ulishawahi kuwa mwanafunzi utaelewa makonda ni watu wa namna gani..
Enzi za shule ukitoka hom unawaza masomo na konda tu..
Umeona eeeh balaa tupu full kunyanyaswaKama ulishawahi kuwa mwanafunzi utaelewa makonda ni watu wa namna gani..
Enzi za shule ukitoka hom unawaza masomo na konda tu..
Ahsante sana, huwa wanathamini pesa kuliko utu, mtu anaweza kukosa hamsini akamsema sana ila wao wakikosa mia anakausha au utasikia una mia nikupe miambiliPole sana Wana roho ya kishenzi wale viumbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa email umeweka ya nn?
HahaAnataka uteuzi iwe rahisi kupatikana
Nini tena mchumba?Mimi kwenye daladala sitetei yeyote, nawaangalia tu.
Halafu nina kesi na wewe.
Polee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hongera maaa mie konda siwai kumtetea mpaka nakufa wamenitesa sana wale, hapo katikati ya jiji bahati mbaya o level nilimalizia shule ya day basi ni daladala tu wakaninyanyasa hao, nimeenda chuoni sikai hostel nikawa napanda daladala balaa likanikuta tena, sina hamu na makondakta mie
waulize bodaboda mmoja akikwaruzwa tu na semi-trela inakuwajeHujambo ndugu msomaji.
Leo nataka unijibu hima!
Hivi nikwanini watu hawawi upande Wa makonda? Ipo hivi hata kutokee ugomvi kwenye daladala kati ya konda na abiria, watu wote watasimama upande Wa abiria bila kujali chanzo ninani. Hata ikiwa abiria ni mkorofi bado watu watamtetea tu. Sababu ni nini? Sijaona hata Siku moja abiria akimtetea kinda dhidi ya abiria.
info.masshele@gmail.com
Polee.
[emoji87][emoji87]Huwajui makonda wa daladala wewe, sio watu wale Wana roho mbaya sanaaa..... Sijui wanajikutaje yaani, ndio maana huwezi kukuta abiria anamtetea konda sababu tu ya hiyo tabia mbaya yao.
Nakumbuka Kuna siku konda mmoja alinisukuma kutoka kwenye gari bahari nzuri sikuanguka, na ningeanguka lazima gari nyingine ingenikanyaga kichwa..... Makondakta wa daladala sio watu