ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,235
??? Vipi wewe huna hata idea??following......
Vigezo vipi?Taifa kama ilivyo familia, haliwezi kuwa na Baba wawili.
Lakini pia Hana vigezo.
au sababu watanganyika ni wengi ndio maana tuna nguvu hii katika muunganoTaifa kama ilivyo familia, haliwezi kuwa na Baba wawili.
Lakini pia Hana vigezo.
Yeye ni baba wa kamboTaifa kama ilivyo familia, haliwezi kuwa na Baba wawili.
Lakini pia Hana vigezo.
ahahah..kwanini mbona hakuwa na umri Wa kumzaa baba Wa taifaMzee Karume ni Babu wa Taifa
kwa kweli mkuu tunasahau kuwa hii nchi ni muungano ingekuwa baba Wa TAIFA la Tanganyika it's okey, lakini why kwa TanzaniaUjinga wetu sisi ndio matokeo yetu sisi ,hakika Karume pia ni baba wa Taifa.
ahaha kwa style hii tutapata mpaka wajomba Wa taifaYeye ni baba wa kambo
ZANZIBAR si TAIFA, unataka awe baba wa Taifs gani?Heshima kwenu Sana JF
.
Leo katika kumbukizi ya kifo cha MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE , kuna mambo mengi Sana natamani ni yajue
Mosi ; ikiwa tuna fahamu ya kuwa Tanzania ni nchi ambayo imetokana na muunganiko Wa mataifa haya mawili yaani Tanganyika na Zanzibar
.
Pia tunajua fika kuwa kabla ya muunganiko huu mataifa haya yalikuwa na waasisi wake ambao ni MZEE KARUME & MZEE JULIUS
.
Hapo awali nilifikiri hii sentensi ya "BABA WA TAIFA " Ipo katika nafsi ya uwingi kwa maana ya kuwa tuna baba zetu Wa TAIFA wawili
.
Lakini ajabu ni kuwa Tanzania tuna mtambua mzee nyerere pekee Kama baba Wa TAIFA hili kwanini?
Natamani wajuzi Wa mambo mnifahamishe kuhusu hili
sikupingi ingekuwa muvi inaitwa Tanganyika NYERERE ni main character ,vivyo hivyo ingeitwa Zanzibar KARUME angekuwa ni main character , so linapo kuja suala la pamoja kwanini heshima ziwe tofauti??Nyerere ni Icon, karume anaweza kuwa baba mdogo wa taifa. Achievements za nyerere haziwezi kulinganishwa na za karume kisiasa.
Movie inaweza kuwa na actors wengi lakini main akawa mmoja.
Linganisha achievements za hao watu wawili kwenye bara letu la Afrika.sikupingi ingekuwa muvi inaitwa Tanganyika NYERERE ni main character ,vivyo hivyo ingeitwa Zanzibar KARUME angekuwa ni main character , so linapo kuja suala la pamoja kwanini heshima ziwe tofauti??
Pia kuna muvi zina staring wawili (ref DOUBLE IMPACT) Ya jean claud van dame
naweza nisikubaliane na wewe mkuu wangu hasa hapa kwenye umri ,maana dunia imeshuhudia wanasayansi nguli kweli kweli na wenye heshima zao Kama ISAACK NEWTON richa ya kuishi miaka michache ,nadhani kuhusu suala la kukumbukwa ni LEGACY aliyo iacha MTUNyerere aliishi muda mrefu zaidi ya Karume, hiibimemfanya akumbukwe na vizazi vingi.
sasa hapa ukileta neno AFRICA itabidi aitwe Baba Wa BARA LA AFRICA si ndiyo?Linganisha achievements za hao watu wawili kwenye bara letu la Afrika.