Na hili nalo la kuwalaumu wanawake?
Hiyo % umeipataje, inamaana umezini na 80% ya wanawake wote?
Hapa tatizo naona ni wewe hujui mapenzi na matumizi sahihi ya condom.
Kwanza rudi shule ujifunze kuandika. Ndio umeandika nini hapa sasa!!!Mkuu rudi shuleni ukajifunze %,mm nimeioata ka kuchukua idadi ya niliye zini nao,kumbuka kila no in %yake hata Kama ni moja,silazima ni wale wanawake Mia ndiyo nipate hesabu zao kwa %
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa mtoa mada,hiyo tabia ipo mfano mwaka jana Nilipata pisi zipatazo 8,sasa katika hizo pisi ambazo ziliweka msisitizo wa kutumia kinga ni 2 pekee.Hiyo inaashiria kuwa asilimia kubwa huwa hawaulizii.
NB: Hizo pisi ni maeneo tofauti tofauti.So usipojiongeza unauza mechi kiboya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app