queenlishas
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 288
- 76
Subiri ukifa utaelewa
Hahahaaa nokia ntaka nijue mapema nisije taka kuitwa hayati.
Umeolewa?
Ukiolewa ndo unakua hayati? Au marehemu?
Inategemea na no ya watt ulionao
Naona unasababisha
Mtongozo wa kibabe..
Akifariki muheshimiwa utaskia hayati fulani
Lakini wengine ni marehemu fulani
Kwanini ivi? Hayo maneno yanatofauti gani..
Nieleze nielimike nisije taka na mi kuitwa hayati lishas kumbe sio ni marehemu lishas
Mimi nadhani mtu aliyefariki muda mrefu uliopita let's say mwaka au miaka kadhaa iliyopita ndio huitwa hayati, na marehemu ni muda mfupi.