Wadau hebu someni haya maneno kutoka kwenye makala ya msomaji raia ndio mtapata jibu kwamba hata wenzie wanamchukiliaje presidaa wetu!!
Kutokana na hotuba hiyo ya Kikwete nilimsikia Rais mstaafu Mkapa akicheka kicheko cha kejeli na kusema ''nadhani hajaelewa maana ya Presidency'', kisha akaongeza, ''ukiwa Rais unarithi yote; hakuna nafasi ya kulaumu wengine.''
Baada ya michango ya wenzake pale mezani, Rais Mkapa alihoji ''Kwani yeye ni robot?'' Nadhani alilenga kusema Rais ana mamlaka na utashi katika kutekeleza majukumu yake na kwa hiyo anapaswa atumie akili pia, siyo kutekeleza kama mashine.
Kazi tunayo Watanzania mpka 2015!!!