Kwani wewe unanini..?

hapo sawa we piga sound za kutosha tu mbona wenyewe tutapanga foleni, chezea maneno matamu wewe

Tatizo wengine wanajifanyaga wako juu.....unakuta mmekaa sehemu kuanzia mchana mpaka usiku mnatumia mara ghfla ooh unajua home hamna mtu alafu leo sijisikii vizuri.... hapo kuna manenotena au ni hoja ya nguvu ndio itatumika
 
sasa kama zipo bia za bure kwanini zisinywewe
kitu kikubwa ndio, gari sio makalio kwamba kila mtu anayo!!!!

Sawa basi, kama ndo ivo na wakati wa kwenda kugegedwa utoe ushirikiano..sio unaanza vijisababu visivyo na misingi..
 

duuuh hii kali
 
Sawa basi, kama ndo ivo na wakati wa kwenda kugegedwa utoe ushirikiano..sio unaanza vijisababu visivyo na misingi..

sio fomula nikihongwa nami nitoe, pesa atatoa mwingine, nitaspend na mwingine na mchezo atapewa mwingine!!!!!!!!!!
 
sio fomula nikihongwa nami nitoe, pesa atatoa mwingine, nitaspend na mwingine na mchezo atapewa mwingine!!!!!!!!!!

Ni kweli kabisa hamna msichana anayetaka kuhongwa na kugegedwa...ila fomula ndio hiyo,.. hamna mwanaume atakutoa out basi tu kama rafiki..lazima kuna kitu anakitaka kwako...labda awe kaka yako..
 
Diplomasia ikifail nguvu ya ziada inabidi itumike
 
Diplomasia ikifail nguvu ya ziada inabidi itumike

Kabisa....saa ingine bila nguvu upati kitu....wengine wanakuaga wanatingisha kiberiti....ukisinyaa tu anakuacha...
 
Ni kweli kabisa hamna msichana anayetaka kuhongwa na kugegedwa...ila fomula ndio hiyo,.. hamna mwanaume atakutoa out basi tu kama rafiki..lazima kuna kitu anakitaka kwako...labda awe kaka yako..

wapo sana, we ushawahi kumuona dingi anambugudhi dem kisa kamuhonga?
wenye fujo ni hao wavaa milege wenye hela za mawazo.....kama hujui!!!!
 
wapo sana, we ushawahi kumuona dingi anambugudhi dem kisa kamuhonga?
wenye fujo ni hao wavaa milege wenye hela za mawazo.....kama hujui!!!!

Lakini mwisho wa siku lengo ni moja tu.....Sema madingi wanasubira na pia damu yao haichemki......inawachukua mda kupata kasi......kijana ukimuaidi tu ,siku anakuja eneo la tukio mashine inasimama toka akiwa kituo cha daladala ...kuna mmoja nilishawai kumshuhudia wanatembea na dem (nahisi walikua wanaenda kugegedana) yaani mashine imesimama anajitaidi kuweka mikono mfukoni lakini wapi kitu kama pembe la ng'ombe, haifichiki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…