Kwani wewe hii imekutokea kwa mke wako?

Kwani wewe hii imekutokea kwa mke wako?

Na hata pia kuna wanawake wanaoishinda kwenye mitandao wakati wenzao wao wanafanya kazi zote.
 
Na wewe wamlipa nini kwa yote akufanyiayo? Kuna mwenzio mmoja analalamika humu kwamba hapewi....anakusoma tu......majibu yake utaisoma namba....
 
Na wewe wamlipa nini kwa yote akufanyiayo? Kuna mwenzio mmoja analalamika humu kwamba hapewi....anakusoma tu......majibu yake utaisoma namba....

Mshahara wangu wote huwa namshirikisha
 
kwani kuosha vyombo ni dhambi? Mbona mimi naosha hapa na laifu inasonga fresh tu!

Afadhali uwambie kaka, ivi kuosha vyombo, au kufua nguo zako mwenyewe zinakupunguzia uanaume wako???? mbona kabla ya kuoa mtu anakua akifanya kazi zoote za nyumbani, akishaoa hata akivua viatu anaviacha nje , eti sio kazi yake kuviingiza ndani. Nonsense!!!!!!
 
Wewe Sitaki Kukoment Kwa Sababu Umeona Hadhi Ya Kuwa Degree Holder Ni Kigezo,sasa Mimi Mke Wangu Ni Manager Ktk Benk Moja(name Kept) Na Ana Masters,huwa Narudi Home Hadi Asubuhi,wikienda Anafanya Kazi Zote Mie Nikiwa Nasoma Magazeti,na Vibao Analambwa Akileta Longolongo Na Kipato Ananizidi Sana Tu, Tena Ni Beautiful Kutoka Kuleeeeee...Kwa Mama Escrow,huwa Najiuliza Sana,kweli Kila Mtu Na Chake.So Usishangae Ni Kawaida Sana.
 
master holder oke
 
Mimi imenitokea mara kadhaa

Tunaamka asubuhi, mke wangu anadeki nyumba, anaosha vyombo anapika chai na kunikaribisha chai wakati huo mimi nikiwa kwenye computer nachart na watu kadhaa

Baada ya hapo anachukua Rundo la nguo anafua, anapika chakula cha mchana na kunikaribisha chakula, lakini wakati huo nikiwa kwenye computer napitia mitandao kadhaa. Hii imewahi kukutokea, yaani mkeo anafanya kazi za nyumbani bila wewe kumsaidia lakini hatoi lawama kwako, wala aombi msaada?

Hii ni true story, mke wangu ni degree holder. Tendo hili linanifanya nimpende sana mke wangu

aseee naona unanizungumzia mimi kabisa,au wewe ni jirani yangu nini?
 
Back
Top Bottom