Kwani wewe hii imekutokea kwa mke wako?

Kwani wewe hii imekutokea kwa mke wako?

Nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
2,230
Reaction score
3,333
Mimi imenitokea mara kadhaa

Tunaamka asubuhi, mke wangu anadeki nyumba, anaosha vyombo anapika chai na kunikaribisha chai wakati huo mimi nikiwa kwenye computer nachart na watu kadhaa

Baada ya hapo anachukua Rundo la nguo anafua, anapika chakula cha mchana na kunikaribisha chakula, lakini wakati huo nikiwa kwenye computer napitia mitandao kadhaa. Hii imewahi kukutokea, yaani mkeo anafanya kazi za nyumbani bila wewe kumsaidia lakini hatoi lawama kwako, wala aombi msaada?

Hii ni true story, mke wangu ni degree holder. Tendo hili linanifanya nimpende sana mke wangu
 
Nkobe ni kweli unachosema ila linapokuja swala la clear invoice zote yeye hukaa pembeni
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mambo ya degree yanaingiaje hapa? au ndio unataka kutuambia hayo anayofanya mkeo yanatakiwa kufanywa na non-degree holders? Lakini pia hiyo sio sifa kwa mwanamme mzima kushinda kwenye computer kutwa kucha. Wake up dude!
 
Mimi imenitokea mara kadhaa

Tunaamka asubuhi, mke wangu anadeki nyumba, anaosha vyombo anapika chai na kunikaribisha chai wakati huo mimi nikiwa kwenye computer nachart na watu kadhaa

Baada ya hapo anachukua Rundo la nguo anafua, anapika chakula cha mchana na kunikaribisha chakula, lakini wakati huo nikiwa kwenye computer napitia mitandao kadhaa. Hii imewahi kukutokea, yaani mkeo anafanya kazi za nyumbani bila wewe kumsaidia lakini hatoi lawama kwako, wala aombi msaada?

Hii ni true story, mke wangu ni degree holder. Tendo hili linanifanya nimpende sana mke wangu

Wewe unafikiria kwa kutumia ''bottom''. Kwako wewe mpaka mtu alalamike ndio utekeleze wajibu wako! Ukimdhulumu mtu asipolalamika basi ni poa tu, mambo yako sawa! Ukimuumiza mtu asipolalamika basi ni poa tu, mambo yako sawa. Katu huwezi kutumia busara zako kujua ni kipi chema ni kipi kibaya... mpaka upate malalamiko. Jaribu kutumia ubongo wako!
 
Hiyo ni bangi inakusumbua mambo yenu ya kifamilia yanatuhusu nini, na kazi ya mwanamke ni nini?
 
Kaka jambo hilo si la kusifia, ni kujisikitikia mwenyewe. Umekua ----- kuona mkeo anahangaika wewe umekaa tu.
 
Wewe unafikiria kwa kutumia ''bottom''. Kwako wewe mpaka mtu alalamike ndio utekeleze wajibu wako! Ukimdhulumu mtu asipolalamika basi ni poa tu, mambo yako sawa! Ukimuumiza mtu asipolalamika basi ni poa tu, mambo yako sawa. Katu huwezi kutumia busara zako kujua ni kipi chema ni kipi kibaya... mpaka upate malalamiko. Jaribu kutumia ubongo wako!

Tusi zito
 
Huo ni wajibu wake,na wewe timiza wajibu wako ili asije akalalamika...degree sijui nini nini vinaishia nje getin...
 
Mimi siku za mwisho mwa juma na kila siku jioni nimetenga muda wa kumpa chakula mtoto pamoja na kumuogesha,hii ni kumsaidia mke wangu na dada wa kazi.
 
Mkeo anajua alichoagozwa na mungu na hizo ni kazi zake ukiingilia mume unamkosea mkeo labda awe anaumwa.
 
Mkuu mambo ya degree yanaingiaje hapa? au ndio unataka kutuambia hayo anayofanya mkeo yanatakiwa kufanywa na non-degree holders? Lakini pia hiyo sio sifa kwa mwanamme mzima kushinda kwenye computer kutwa kucha. Work up dude!

Kweli mkuu, na mimi nilitakiwa nideki nyumba na kuosha vyombo
 
Nachukia watu wanaoning'iniza mbupu(wavivu). Fanya kazi mkuu kazi haimuhui mtu. Nanimeshakushtukia hata kwenye kugegeda unakuwa mnyenyekevu watch out Bro!
 
Nachukia watu wanaoning'iniza mbupu(wavivu). Fanya kazi mkuu kazi haimuhui mtu. Nanimeshakushtukia hata kwenye kugegeda unakuwa mnyenyekevu watch out Bro!

Nioshe vyombo nipate hela?
 
Back
Top Bottom