Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Asante Mungu kwa hii siku nyingine, leo MCHUNGUZI HURU na kuja na uchunguzi mwingine.......
Vijana wengi wa kitanzania (wa kiume) yaani baada ya kumaliza tu chuo unakuta wameota vitambi, utakuta kijana ulikuwa ukisoma nae chuo alikuwa yupo kama Kagame lakini baada ya kumaliza chuo unakutana nae unaanza kuhisi umemfananisha au ni yeye. Shida ni nini wadau?
Na si ana hela, hapana, utakuta anafanya volunteering somewhere halipwi chochote hata nauli tu lakini bado kitambi kinamuota au mwingine hana kazi kabisa lakini ana bonge la tumbo. Kuna siri gani nyuma ya vitambi na kumaliza chuo?
Dr. MCHUNGUZI HURU (PhD)

Last edited by a moderator: