jackob kasanga
Member
- Sep 20, 2015
- 29
- 0
acha kuongea shombo wew.....mchawi loan na GPA..!!
Unazungumzia nn 2nd round? Au? Na zmepotea kivip?
Ondoa shaka.Vyuo vyenyewe kufunguliwa sio leo wala kesho
nafikiri unazungumzia majina yaliyotoka takriban two weeks hv ago ,kwa upeo wangu ni kwamba yale majina ni ya wale applicants ambao walipita 1st round ambayo yalitumwa kwenye vyuo husika na TCU ,hvyo ikatokea yakavujishwa ila hayakutolewa rasmi ,ila jana ijumaa saa 3 na robo asubuhi https://www.udsm.ac.tz iliachia rasmi majina ya undergraduates wote wa mwaka wa masomo 2015/2016 ambao wapo selected UDSM na matawi yake ,na ikumbukwe hao ni wale wa 1st round ,hvyo basi wote watatakiwa kusubiri selection za TCU ili waweze kupata 'admission letter' ambazo wataenda nazo vyuo walivyopangiwa jumamosi ya tarehe 31 october... ila TCU kutoa selections ni after 30 sept ambayo ni deadline ya 2nd round ,hvyo basi kuanzia juma3 ya tarehe 5 kuna uwezekano mkubwa wa TCU kurelease majina yote kwa both 1st & 2nd round applicants.
we subiri utapata maelekezo 4rm TCU muda ukifika.Admition letters tutapata wapi mbonaaa kama sijakusomaaa aseee