Kwani TCU watatoa lini post za vyuo?

Kwani TCU watatoa lini post za vyuo?

Joined
Sep 20, 2015
Posts
58
Reaction score
0
kila cku kumekuwa na tetec na maneno kuwa majina ya vyuo yamexhatoka bt ktk website ya tcu mbona hakuna kitu?
 
Jiongeze kwamba majina yakitoka utayaona humu..ni lini?hakuna anayejua
 
Jaman mbona mi nimere-apply mwanzon kabisa lakin cha kushangaza juzi nimelog in nkakuta hakuna coz hata niliyoapply mwanzo.....
Any help..!!
 
Ina maana hayo majina ambayo udsm wanasema wametoa ni tetesi tu??
Ni yenyewe yale ,ila hayajatolewa na TCU rasmi ,kule wamevujisha tu ,ndyo maana hakuna hata m1 alieona changes kwenye profile yake ,tutafute mambo ya kufanya kipindi hk cha kusubiri post ,msiziwazie sana muda ukifika mambo yote yatakuwa hadharani humu humu!!
 
sio yamevuja;udsm huwa wanachukua majina yao mapema na kurelease kabla ya tcu,hat tcu wakiachia hakun kinachobadilika
#hapo ndo unapopat tofaut ya chuo cha taifa na vyuo vyen vya kata km udom nk
 
Jaman mbona mi nimere-apply mwanzon kabisa lakin cha kushangaza juzi nimelog in nkakuta hakuna coz hata niliyoapply mwanzo.....
Any help..!!

Unazungumzia nn 2nd round? Au? Na zmepotea kivip?
 
Back
Top Bottom