Kwani suluhisho ni kugoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwani suluhisho ni kugoma

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BUMIJA, Oct 22, 2011.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Nchi yetu katika sekta ya elimu migomo ikifanyika ndo serikali ama taasisi husika wanaunda tume,walimu waligoma,wanafunzi nao wangoma,je unadhani ipo njia mbadala ya kutatua matatizo na ukizingatia kabla ya mgomo tatizo linapelekwa panapohusika na wanapuuza
   
 2. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kuna njia tatu za kudai haki;
  1. Mazungumzo
  2. Maandamano/migomo
  3. Vurugu.
  Wahusika weng serikalini hawapo makini pindi mtu unapotumia njia ya kwanza,kwa Tanzania njia ya pili huleta majibu kwa haraka zaidi ndyo maana wengi huitumia.
  USHAURI;
  Inatubidi tupate serikal sikivu ila kutatua mambo kwa ufasaha na kwa haraka kwa mazungumzo tu.
   
 3. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,675
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Kama sijakusoma vile!
  Kwani unadhani watu wanapenda migomo? Au wanagoma bila sababu? Sina hakika.

  Anyway, ngoja wahusika waje wakujibu, maana naona hii mada yako, mh..? Haya.
   
 4. z

  zomanyakahu New Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu bumija kugoma ndo suluhisho kwani serikali yako uliyo ichagua kwa mbwembwe na madaha mengi wapo kwa ajili ya mnufaa yao na wala si kwa ajili ya kuwasaidia watu wanyonge hivyo basi swala ni mgomo tu.
   
Loading...