mgonga
Senior Member
- Oct 26, 2018
- 174
- 560
Huyo nae ni wa shule gani?We colona si uondoke tu hawa jamaa warudi shule tu!View attachment 1433801
Sent using Jamii Forums mobile app
"ingilishi midiamu"Huyo nae ni wa shule gani?
Hahaha. Unakwepa kulea Mkuu. Huyo anatakiwa alelewe home."ingilishi midiamu"
kwa hali hiyo acha walimu wa-play part yaoHahaha. Unakwepa kulea Mkuu. Huyo anatakiwa alelewe home.