Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,924
- 831,385
Nimeshuhudia mara nyingi wanaume wakigeuka na kuwaangalia wanawake wenye hips na makalio makubwa huku wakitoa udenda wa matamanio
Nimeshuhudia pia wanawake wakiwasifia wanawake wenzao wenye hips na makalio makubwa kuwa wana shepu bomba
Sura kifua mikono na miguu huwa havipewi umuhimu mkubwa kwenye kusifia shepu ya mtu
Najiuliza tuu kwani shepu ni hips na makalio tuu ?