Kwani Rais anateua sana kutoka UDSM? Mzumbe na UDOM vipi?

Sio kweli, ameteua wengi tuu kutoka vyuo vingine ingawa UDSM imetoa zaidi. Tukiacha unafiki UDSM ndio Chuo bora hapa nchini.
 
Bahati mbaya sana katiba inampa mamlaka rais ya kuteua na kutengua yoyote bila ya kutoa maelezo.
Hapa utapata porojo tu,swali lako hata bungeni halijibiki
 
Bahati mbaya sana katiba inampa mamlaka rais ya kuteua na kutengua yoyote bila ya kutoa maelezo.
Hapa utapata porojo tu,swali lako hata bungeni halijibiki
Haha... Basi wewe umelijibu sawia
 
Sio kweli, ameteua wengi tuu kutoka vyuo vingine ingawa UDSM imetoa zaidi. Tukiacha unafiki UDSM ndio Chuo bora hapa nchini.
Mwele - UDSM
Mafuru- UDSM
Mafisadi - UDSM

...

...

.....
 
Inaelekea anaamini kwamba wako vizuri.ukiangalia chuo kama IFM wana phd holders wengi kidogo lkn unakuta mwalim hawana tofauti na wanafunzi kwa umbo
 
Phd
 
Ivi mbona vyuo vya kidini kama Tumaini, St Agoustino na vinginevyo vina tengwa saana na serikali..wakati mashirika ya kimataifa wanakubali saana wahitimu walio toka kwenye vyuo hivi kwa kuwa wapo creative na wanafanya vzr kwenye practical na ethics yaan hof ya ufisadi.. ukilinganisha na hivi vya serikali..nasema hivyo kwamaana utakuta tangazo la kazi wanakua specific selective kua atoke chuo flani cha serikali au vyuo vinavyo vingine
 
Hivi ungeaza na title ya post kuwa Faru john analipa fadhira si tungekuelewa tu kuliko kuanza kutuuliza maswali ya kijinga kijinga wakati majibu unayajya
 
Swali lingine, hawa watu nafasi zao nani anaziba huko vyuoni????
 
Sio kweli, ameteua wengi tuu kutoka vyuo vingine ingawa UDSM imetoa zaidi. Tukiacha unafiki UDSM ndio Chuo bora hapa nchini.

Hao waliopo vyuo vingine nao wametoka hapo hapo Udsm....kwahiyo Kama chuo bora na wao ni bora....Kama wanakasoro basi watakuwa wametoka nayo hukohuko Udsm.....
 
Asicho kijua, sio lazima kazi afanye Prof au Dr person. First Degree na Masters holders niwatendaji wazuri sana.
 
Ana mahaba tuu na udsm wala hakuna jipya coz hata ukiangalia kuna vyuo vikuu vingi vinahitaji Hostel ila kiona udsm tuu kaisahau hata mzumbe wanaosoma kwa shida na shift.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…