Bibiharusi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2025
- 386
- 431
- Thread starter
-
- #21
Mkuu nimerekebisha Uzi ππΎMkuu kupenda Nini?
Doh! mimi Kwangu weekend huwa ni siku ya kula utawala haswa ππ€Mimi kulala ndio siwezi kabisa
Nikiwa home, napenda sana kusoma tafiti mbali mbali za ki science. Kusikiliza sermon za mzee kulora na mwakasege.. Kidogo na kunjunja ππMwana JF... Kwani nini unapenda?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Sorry nilimaanisha kitu Gani unapenda kukifanya ukiwa zako hom weekend but nime tach vibaya Uzi ukawa posted tayari.....ππΎππΎππΎ
Evelyn Salt nikuambie tu huyu ni docta kabadili jina ile ID ya God fearing personπ€£π€£π€£π€£Salama naona unzidi kupendeza
πππππ daaah nastaafu jf kwaherini.Evelyn Salt nikuambie tu huyu ni docta kabadili jina ile ID ya God fearing personπ€£π€£π€£π€£
Hatari sana π€£π€£π€£π€£π€£ hapo atakufuata na username mpya kukuzuga.πππππ daaah nastaafu jf kwaherini.
Nitabaki tu mshauri kama jk
Hahahahahaa π€£π€£π€£π€£Evelyn Salt nikuambie tu huyu ni docta kabadili jina ile ID ya God fearing personπ€£π€£π€£π€£
Acha kutumia madawa yakulevesha.Mwana JF... Kwani nini unapenda?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Sorry nilimaanisha kitu Gani unapenda kukifanya ukiwa zako hom weekend but nime tach vibaya Uzi ukawa posted tayari.....ππΎππΎππΎ
Mwenyewe?Kulala aisee π€ naweza nikalala siku nzima
Napenda kufanya tendo la ndoa na bibi harusi!Mwana JF... Kwani nini unapenda?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Sorry nilimaanisha kitu Gani unapenda kukifanya ukiwa zako hom weekend but nime tach vibaya Uzi ukawa posted tayari.....ππΎππΎππΎ
Hongera baba harusi'Napenda kufanya tendo la ndoa na bibi harusi!
Ndiyo lonelyMwenyewe?
HaukubalkiπNdiyo lonely
Baada ya kazi ngumu ya wiki nzima, napenda kulala mpaka nachoka kulala, nikiamka nampigia simu demu ninayemtaka kwa usiku ule ili nimtolee stress.Mwana JF... Kwani nini unapenda?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Sorry nilimaanisha kitu Gani unapenda kukifanya ukiwa zako hom weekend but nime tach vibaya Uzi ukawa posted tayari.....ππΎππΎππΎ
πππ kwan wanakua na stress..?Baada ya kazi ngumu ya wiki nzima, napenda kulala mpaka nachoka kulala, nikiamka nampigia simu demu ninayemtaka kwa usiku ule ili nimtolee stress.
ππ niacheHaukubalkiπ