Bibiharusi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2025
- 386
- 427
- Thread starter
- #21
Mkuu nimerekebisha Uzi 🙏🏾Mkuu kupenda Nini?
Mkuu nimerekebisha Uzi 🙏🏾Mkuu kupenda Nini?
Doh! mimi Kwangu weekend huwa ni siku ya kula utawala haswa 😀🤠Mimi kulala ndio siwezi kabisa
Nikiwa home, napenda sana kusoma tafiti mbali mbali za ki science. Kusikiliza sermon za mzee kulora na mwakasege.. Kidogo na kunjunja 😁😁Mwana JF... Kwani nini unapenda?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sorry nilimaanisha kitu Gani unapenda kukifanya ukiwa zako hom weekend but nime tach vibaya Uzi ukawa posted tayari.....🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Evelyn Salt nikuambie tu huyu ni docta kabadili jina ile ID ya God fearing person🤣🤣🤣🤣Salama naona unzidi kupendeza
😂😂😂😂😂 daaah nastaafu jf kwaherini.Evelyn Salt nikuambie tu huyu ni docta kabadili jina ile ID ya God fearing person🤣🤣🤣🤣
Hatari sana 🤣🤣🤣🤣🤣 hapo atakufuata na username mpya kukuzuga.😂😂😂😂😂 daaah nastaafu jf kwaherini.
Nitabaki tu mshauri kama jk
Hahahahahaa 🤣🤣🤣🤣Evelyn Salt nikuambie tu huyu ni docta kabadili jina ile ID ya God fearing person🤣🤣🤣🤣
Acha kutumia madawa yakulevesha.Mwana JF... Kwani nini unapenda?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sorry nilimaanisha kitu Gani unapenda kukifanya ukiwa zako hom weekend but nime tach vibaya Uzi ukawa posted tayari.....🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mwenyewe?Kulala aisee 🤗 naweza nikalala siku nzima
Napenda kufanya tendo la ndoa na bibi harusi!Mwana JF... Kwani nini unapenda?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sorry nilimaanisha kitu Gani unapenda kukifanya ukiwa zako hom weekend but nime tach vibaya Uzi ukawa posted tayari.....🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Hongera baba harusi'Napenda kufanya tendo la ndoa na bibi harusi!
Ndiyo lonelyMwenyewe?
Haukubalki😅Ndiyo lonely
Baada ya kazi ngumu ya wiki nzima, napenda kulala mpaka nachoka kulala, nikiamka nampigia simu demu ninayemtaka kwa usiku ule ili nimtolee stress.Mwana JF... Kwani nini unapenda?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sorry nilimaanisha kitu Gani unapenda kukifanya ukiwa zako hom weekend but nime tach vibaya Uzi ukawa posted tayari.....🙏🏾🙏🏾🙏🏾
😂😂😂 kwan wanakua na stress..?Baada ya kazi ngumu ya wiki nzima, napenda kulala mpaka nachoka kulala, nikiamka nampigia simu demu ninayemtaka kwa usiku ule ili nimtolee stress.
😁😁 niacheHaukubalki😅