"Kusema ukweli kuna madhara gani?"
Kusema ukweli kuna faida na hasara zake pia mkuu.... Madhara yake mfano ni kujenga chuki..watu watase wewe mjuaji sana na unapenda sifa....n.k
"...Kwanini watu wanapenda sana kudanganya? Bila kudanganya utakufa?"..
Watu wanapenda sana kudanganya ili wawe huru, wawe salama au watimize jambo lao kwa wakati husika.. BILA KUDANGANYA HAUWEZI KUFA MKUU..
Nahitimisha kwa kusema, UKWELI siku zote utakuweka huru na UONGO utakupa ushindi wa siku moja au muda mfupi na UKWELI unaishi moja kwa moja..
Na pia wahenga walisema, "Kwenye ukweli, Uongo hujitenga"