Kwani na Mh. John Cheyo ni CCM?

ccm inawajua walio wake ndiyo maana nao hufanya iliyowatuma, sina hakika kama kuna mbunge yeyote wa ccm aliyejadili bujeti hii kwa maslahi ya watanzania bali ni kutimiza walilotumwa basi, yaani kutukana upinzani na mwisho kupiga kura ya ndiyoooooo. hakika safari imekuwa mbaya zaidi, wataanza kupingana kwenye wizara maana huko ndo madudu ya ajabu.
 
Back
Top Bottom