chama cha jamaa mmoja anaitwa patel. yaani huyo anaweza kugawia wajumbe wote wa katiba brifkes full dollar kila mmoja ukapata katiba ya Kihindi
ccm wapo wengi wanaotaka Serikali 3, lakini hawana uwezo kwani wale wanaofaidi pesa za ccm wamewafunika wenye ccm ni wale wanaofaidi matunda ya ccm kwa namna yeyote ile.Msimamo wa chama,Serikali 2, Kura ya Wazi:Haya mambo mawili ndio yananifanya kila siku niwaze, CCM mwenyewe nani?
Je,hakuna wanaCCM wa serikali 3? Je,wale wawili wa bungeni ndo hao tu wanataka kura ya siri? Je,CCM ni Nape,Jk na Kinana?
Je,CCM haiheshimu mawazo ya wale waliokuwa wanaheshimu mawazo yao kwa miaka mingi sasa?
Je,pale mjengoni,CCM ni Wasira,Pinda,Mkuchika na Lukuvi?
Bado nawaza,CCM ni ya nani? Mbona hao wakiongea wengine ni kuunga mkono tu?? Naenda tafuta chakula kwanza then nitarudi kama nikishiba,maana mfukoni hali ni tete!
Tanzama alisimia ya wabunge, vitogoji ilivyokamata na Halmashauri inazoongoza ndiyo utajua CCM ni nani.
Kweli mkuuNi ya familia za Karume Mwinyi Nyerere Kawawa Makamba Kikwete Nnauye wengine wachumia tumbo
wewe wamekutuma au unataka kukunwaccm wapo wengi wanaotaka Serikali 3, lakini hawana uwezo kwani wale wanaofaidi pesa za ccm wamewafunika wenye ccm ni wale wanaofaidi matunda ya ccm kwa namna yeyote ile.
wewe wamekutuma au unataka kukunwa