Kwani mwenye CCM ni nani??

Kwani mwenye CCM ni nani??

Mkuu,ina maana hao wabunge wote,viongozi wa halmashauri,wenyeviti wa vijiji,na vitongoji,wote wanataka serikali 2 na kura ya wazi?
"Anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua nyimbo"
 
ccm ni ya wale wanaoamini muungano ni wa zanzibar na tanzania bara na sio zanzibar na tanganyika!
 
ccm inamilikiwa na lile kundi lililotajwa pale mwembe yanga , LIST OF SHAME ! HAWA WENGINE NI WASHIKA JEZI TU .
 
Mkuu,ina maana hao wabunge wote,viongozi wa halmashauri,wenyeviti wa vijiji,na vitongoji,wote wanataka serikali 2 na kura ya wazi?

huyo mburula akijibu swali lako nitashangaa sana !
 
Kabla ujaiuliza hayo jiulize CHADEMA NI YA NAN? JIBU RAHISI MTEI,MBOWE,SLAA NA WACHAGA WOTE NA MAPADRI/WAKRISTO........

CCM YA WANANCHI
hilo la wakrito wote nalikubali,hata wakrito walioko ccm wote ni chadema ndio maana mikoa yote wanayoongoza ina maendeleo makubwa
 
Chama cha kifalme sasa mfalme akiamua na familia yake na jopo lake si lazima vibaraka wote mseme ndio mzee kwi kwi...!!!!
 
Ccm ina wenyewe na wenyewe ndio sisi wengine mafisi
 
CCM ni mali ya wafanyabiashara na mafisadi. Ukitataka kujua ukweli kumbuka jinsi walivyolisigina azimio la Arusha ili wapate kuiba kwa kwenda mbele. Kumbuka EPA, Richmond, Deep green, Meremeta na uuzwaji wa viwanda, mabenki na mbuga za taifa ni uzao wa kifo cha azimio la Arusha. Hakuna tena misingi ya kujitegemea sasa imebaki kazi kwa rais kuzunguka dunia kuhemea vibaba. Rais mwenyewe kasema anasafiri sana ili kuhemea vibaba wakati rasmali zote zimekabidhiwa kwa hao anakokwenda kuhemea.
 
Mmiliki wa ccm ni yuleyule mkuu wa mapepo. Kwa jina anaitwa lucifer
 
edo jembeeeeeeeeeeee.,//,/./,., Tz HATUNA VIONGOZI KAMA HADI BODA2 NA BAJAJI ZIMEPIGWA STOP NA ZILIKUWA MSAADA KIAINA ...... TZ imebaki kupata Mapato yake kny FAINI BARABARANI .....
 
CCM ni chama cha wananchi wazalendo wa Tanzania
CHADEMA ni saccos ya mtei na wachagga pamoja na watu wa kaskazini lakini pia ni chama cha wakristo..wengine mamluki
CUF chama cha waislamu


Msimamo wa chama,Serikali 2, Kura ya Wazi:Haya mambo mawili ndio yananifanya kila siku niwaze, CCM mwenyewe nani?

Je,hakuna wanaCCM wa serikali 3? Je,wale wawili wa bungeni ndo hao tu wanataka kura ya siri? Je,CCM ni Nape,Jk na Kinana?

Je,CCM haiheshimu mawazo ya wale waliokuwa wanaheshimu mawazo yao kwa miaka mingi sasa?

Je,pale mjengoni,CCM ni Wasira,Pinda,Mkuchika na Lukuvi?

Bado nawaza,CCM ni ya nani? Mbona hao wakiongea wengine ni kuunga mkono tu?? Naenda tafuta chakula kwanza then nitarudi kama nikishiba,maana mfukoni hali ni tete!
 
Mwenye CCM hayupo ilikuwa ya Mwalimu Nyerere, wengine wako nyuma ya pazia wakiogopa tu laana zisiwakamate, na dhambi ya kuiua CCM ikawatafuna kwani hukusikia kiongozi akisema " subirini kwanza niondoke"
 
Back
Top Bottom