Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,602
- 1,864
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Kila kitu nikiuliza kwa Masheikh na mapadri na wachungaji na hata katika forum mbalimbali mnanifungulia KITABU,
Ina maana Mungu alikosa njia zote za kujieleza katika dunia na watu wake bila ya KITABU tu?
Ndugu msomaji naomba tumia akili kidogo unaposoma bandiko langu., pia changia kwa tahadhima,
Onyo
Kama umelewa usichangie maana hautaweza nielwa.
Twende kwenye mada.
Enyi ndugu zangu wenye akili zilizoganda mnaocha fanya mambo mazuri ya dunia kwa kufuata KITABU, hilo likitabu litawapoteza,. Tambueni kuwa maisha mnaishi mara moja tu,. Mkifa ndio mmeenda,. Hamtakuja kupata *hewa, pombe, mademu wazuri, ugali wa moto, nyama choma (kitimoto), zinaa (na mishangazi, ) nk.
JE, MUNGU WAKO AMEKOSA KABISA MAWASILIANO NA WEWE MPAKA AKATUMIA KITABU PEKEE?
leo hii ukisema ufunike kitabu hakuna mahali popote unaweza ona jina la ALLAH wala YESU katika dunia mpaka utakufa.
Leo hii ukisema ufunike kitabu yaani usisome KITABU hakuna mahali popote pale utaweza ona maswala ya malaika, peponi, wala motoni.
Je, kuna uhusianao gani kati ya MUNGU wako na KITABU?
Pia Mungu allah anasema hana mshirika mimi mbona naona washirika wake ni wanne
(Shetani, KITABU, Muhammad na moto)
Mbona kama Mungu Mungu wako ni anategemea sana kitabu ili tumjue?
Au Mungu ni KITABU?