"Kwani mume tatizo?"

Ndiyo.

Kwa sababu 'sababu' zinaweza kuwa tofauti kulingana na mtu mwenyewe, muktadha, na kadhalika.

Unaweza kukuta hata huyo mdada alipo olewa
aliahidi hatakuja ku cheat
but then again...
 
Unaweza kukuta hata huyo mdada alipo olewa
aliahidi hatakuja ku cheat
but then again...

Hahahaaa....Bossman...mbona mi naona ni kama wote tu waingiao kwenye holy matrimony huwa wanaahidi hayo.

Naamini huwa wanaahidi hayo wakiwa under the influence of dopamine, ignorance, or both!!!
 
Hahahaaa....Bossman...mbona mi naona ni kama wote tu waingiao kwenye holy matrimony huwa wanaahidi hayo.

Naamini huwa wanaahidi hayo wakiwa under the influence of dopamine, ignorance, or both!!!

Wanakuwa under influence ya 'kuwa in love'
wakishakuwa out of love hata kama bado wako kwa commitment ya mahusiano
ndo kila kitu kinaanzia hapo
 
He hee ila nawewe si utampa tu ilihali unajua ni mke wamtu?
 
Hapana. Sio wote watakua na tabia hizo chafu za Adultery
Kuna wanawake wengine tena wengi wametulia na wanajiheshimu,
Na pia huyo mwanamke hatujui yeye na mumewe wanaishi maisha ya aina gani hadi mke anaamua kua na tabia mbovu.
 
Yaani mtu kukuomba tu namba ya simu ushafikiria NGONO , kumbe Trump alikuwa sawa kabisa " na sjui tu elimu yenu inawasaidia nini
 
Nyie ndo wale mnaofika ugenini mkakaribishwa vizuri kwa kuchangamkiwa na shemeji zenu , mnazani anakutaka PUMBA TU
 
Masaa mawili, Page ya pili...

Ngosha naona unaendelea kufulia tu.. Aya anza tabia yako ile ya kujijibu mwenyewe ujaze jaze page..
 
OK! Nashukuru umeniambia! Ngoja nimnunulie simu nyingine itakayo kuwa inarekodi mazungumzo yenu bila yeye kujua.Halafu utanijua mm ni nani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…