Sawa, hivyo viporo mechi mbili sijui vinatokea wapiKuna viporo mechi 2!
Baada ya Ihefu kubahatisha na wakabahatika kibahati bahati, imekuwa nongwa!!
Kabla ya kuvunjiwa heshima na hawa madogo wa kuitwa Ihefu, Mabingwa wa kihistoria, mabingwa wa muda wote, wazee wa unbeaten, WANANCHI tulipewa kila aina ya lawama na tuhuma! "Ooh, wanahonga marefa! Ooh, wanapendelewa, unbeaten za mchongo!, Mara ooh magoli ya mganga!" na mengine kibaoo... SIJUI WAO HAWAWAJUI HAO WAGANGA!!!??
Bahati mbaya madogo wa Ihefu wamechafua gazeti, Asiyekubali kushindwa si mshindani! sasa Makolo kutwa kucha hawalali, Ni lawama, kejeli na kila aina ya usumbufu..!! juu yetu, Kwani tuliwaambia hatutafungwa milele?? au tuseme....
MLITAKAJE KWANI??
NB; Bado shida iko pale pale!
Mayele bado yupo sana!
Kuna viporo mechi 2!
Wananchi watatetema sana tu...
Rekodi imeandikwa!!Hahaaaa!!!!hakika utopolo hawatosahau kilichowakuta
Si Ihefu walikataa mlungura mkanyooshwa!Baada ya Ihefu kubahatisha na wakabahatika kibahati bahati, imekuwa nongwa!!
Kabla ya kuvunjiwa heshima na hawa madogo wa kuitwa Ihefu, Mabingwa wa kihistoria, mabingwa wa muda wote, wazee wa unbeaten, WANANCHI tulipewa kila aina ya lawama na tuhuma! "Ooh, wanahonga marefa! Ooh, wanapendelewa, unbeaten za mchongo!, Mara ooh magoli ya mganga!" na mengine kibaoo... SIJUI WAO HAWAWAJUI HAO WAGANGA!!!??
Bahati mbaya madogo wa Ihefu wamechafua gazeti, Asiyekubali kushindwa si mshindani! sasa Makolo kutwa kucha hawalali, Ni lawama, kejeli na kila aina ya usumbufu..!! juu yetu, Kwani tuliwaambia hatutafungwa milele?? au tuseme....
MLITAKAJE KWANI??
NB; Bado shida iko pale pale!
Mayele bado yupo sana!
Kuna viporo mechi 2!
Wananchi watatetema sana tu...
Ila makolo mlipokea ili mkanunulie ngada!!!!Si Ihefu walikataa mlungura mkanyooshwa!
Ni kama Kunguru tu anavyomnyea binadamu, halengi...Sawa..ila sasa ndio mfungwe na mburuza mkia???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti nanii??
Tunaweka historia nyingine, ya kutofungwa na timu yoyote nyingine ispokuwa IHEFU...Tumerudi Na Mchele Wa Mbeya
Kamq mlivyokuw mnasema de agosto ni ihefu iliochangamka and vise versa is trueTunaweka historia nyingine, ya kutofungwa na timu yoyote nyingine ispokuwa IHEFU...
Makolo itawachukua miaka 40 kuvunja rekodi hii...Kamq mlivyokuw mnasema de agosto ni ihefu iliochangamka and vise versa is true
Rekodi ya kuchezewa na mwiko nyuma na kijana baro baro ihefu? Hatuna ujinga huoMakolo itawachukua miaka 40 kuvunja rekodi hii...
Kwamba nyie mmetuzowea sisi wazee wenzenu wa miaka nenda miaka rudi...!!!Rekodi ya kuchezewa na mwiko nyuma na kijana baro baro ihefu? Hatuna ujinga huo
Tumewazoea kuwapiga na mwiko huko nyuma 6-0,5-0,4-1Kwamba nyie mmetuzowea sisi wazee wenzenu wa miaka nenda miaka rudi...!!!