G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Wana bodi tunaenda miaka miwili sasa ya utawala wa Rais Magufuli, lkn hadi sasa huu mkoa wa Mara, haujatembelewa na kiongozi yeyote yule mkuu, wakija utasikia wanaishia mwanza, shinyanga Geita au Simiyu. Siyo kwamba ni kitu kibaya ila na sisi tunataka mmoja wa hawa viongozi wakuu atutembelee. Tuliwapa kura, na hata kma Maranina baadhi ya wabunge wengi wa upinzani, muda wa siasa ulishapita na viongozi wetu ni hao. Waje nasi watutembelee kma mikoa mingine.