The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
ahaaaa hivi the boss nikikupa utasubutu kupokea?
Ni mpaka unipe ndo ntajua kama ntaweza pokea au la. lol
ahaaaa hivi the boss nikikupa utasubutu kupokea?
ahahaaaa dah ningekuwa nacho ningejaribu kukupa tuone.sema tu sina aiseeNi mpaka unipe ndo ntajua kama ntaweza pokea au la. lol
Ni mpaka unipe ndo ntajua kama ntaweza pokea au la. lol
ahahaaaa dah ningekuwa nacho ningejaribu kukupa tuone.sema tu sina aisee
ndefu sana nitasoma kesho
mie nipo missing you
za masiku?
kufilisika ndio part of life
its a new fashion these days lol