Umefufuka muheshimiwa karibu..
Dunia njema wawili wawili, hata ndege hukaa wawili....sasa litawezekana hili la wawili wawili bila ya kuwepo ndoa?
YouTube - Leona Lewis - I Got You
<br />
<br />
Kwani we ulitakaje?
Kuoa na kuolewa kuna heshima yake na mtoto wa ndoa siku zote huwa na baraka zake,
Ndio manake kwani ukimsifia mtu ndio unataka kummiliki?
Hapa nimekusoma bossNi imani yako tu mkuu! tukihesabu walio na baraka duniani utakuta wengi ni wa nje ya ndoa unamuonaje Obama? au hujui kama babake anga alikuwwa university akamtwanga ujauzito Ann Stanley Dunham mama yake Obama na mchezo ukaishia hapo mama akazaa prezidaa wa taifa kubwa sasa!
Umesomeka bossLinawezekana sana, kwani siku hizi hujaona wawiliwawili kabla ya ndoa? Hivi watu jamani mboni hamuelewi sledi yangu???!!! khaa mii nachukia bwanaaa! Nimeuliza hiviii ikiwa siku hizi mambo yanayofanyika kwenye ndoa tunayafanya kabla ya ndoa je kuna haja tena ya kuwa na ndoa siku hizi???? kwa maana ni changamoto kuwa ikiwa tunathamini uwepo wa ndoa basi ni kheri yatendwayo katika ndoa yawe yanasubiri ndoa kwa maana nyingine ndoa itakuwa na thamani ikiwa tutaacha kuendekeza pre marriages tunazofanya sasa.
Mulama ulipata ngapi kwenye kiswahili maana naona km una F hvJamani kwani kilicho bora si ndio husifiwa? na je si ni kweli kila mtu utaka kilicho bora? kwahiyo kumiliki si hajabu!
Mulama, kuoa ni jambo jema kwa jamii na kwa wawili wapendanao. Kuna halalisha na kuhakikisha kuwa, watoto watakaopatikana kwenye ndoa watapata malezi bora zaidi. Na pia kunathibitisha uwezo, na nia ya wawili kuendelea kupendana, kuvumiliana na kuheshimiana.
Ndoa ni mzigo kwa wanaoingia bila kuwa na sababu za msingi za kufanya hivyo. Kuingia kwenye ndoa ili kuifurahisha jamii peke yake, ni sawa na kujinyima furaha ya maisha. Ndoa lazima itokane na nia thabiti inayosukuma mioyo ya watu wawili kuona maisha bila kuwa karibu hayana raha. Ndoa ya namna hiyo haizuiliki.
Mulama, sio lazima kwa yeyote kuoa au kuolewa. Mtu anaweza na ni haki yake kuamua aina ya maisha anayotaka kuishi (ndoa au bila ndoa). wapo watu wengi walioteseka sana ndani ya ndoa, na wapo waliofurahia sana kuwa ndani ya ndoa. Maisha ni kupanga, na kupanga ni kuchagua.
Ili kuwa na watoto, si lazima kuoa au kuolewa. Hakuna ndoa iliyofungwa wakati Adam na Hawa walipopewa amri ya kwenda na kuijaza dunia. Lakini ili maisha yawe ya kistaarabu, na ili watoto wapate malezi bora, ni vyema wawili wenye nia ya kuzaa wakaoana.
Mulama ulipata ngapi kwenye kiswahili maana naona km una F hv
Kuhusu mimi:Male 22 yrs,cna girlfriend and No plans to have one,i'm happy with my life.Kuna kitu kinanikera sana,hivi kwani ni lazima kila mtu aoe?????? kwanini nikisema nataka kuadopt mtoto watu wananiona mutant?:typing: i've seen people do it(stay single and they are happy)i'm not ready for Relationship Stress and i'm not sure if i will someday.:and one thing; I HATE MARRIAGE!!!!!!!!MARRIAGE SUCKS!!!!!!!!lol!