Kama ana mipesa kasome Oxford University huko new YorkJamani naomba msaada mm nimpata E flati HGL nataka kwenda degree vp naweza kufanya application bila tcu na kama naweza inaweza kuwa shilingi ngapi kutoa ili nifanikiwe kwa sababu baba yangu hana hela sana toka naanza chekechea hadi advance nimesoma private so sizani kama hata shidwa hiyo hela yakufanya apllicatuion bila tcu
mwaka huu 2016Umrhjti.u mwaka gan
duh sasa D mbona iko mbali ivo wakati zamani E unajiunga chuo2 principles yaan D na D au C na E
Mkuu huna vigezo vya kusoma shahada labda ujaribu stashahada na sijui kama NACTE wamesha anza au kufunga!Jamani naomba msaada mm nimpata E flati HGL nataka kwenda degree vp naweza kufanya application bila tcu na kama naweza inaweza kuwa shilingi ngapi kutoa ili nifanikiwe kwa sababu baba yangu hana hela sana toka naanza chekechea hadi advance nimesoma private so sizani kama hata shidwa hiyo hela yakufanya apllicatuion bila tcu
Zamani!duh sasa D mbona iko mbali ivo wakati zamani E unajiunga chuo
Kiswahili chako kinahitaji ukifanyie kazi ya ziada. Kama una hela kwa Tanzania haita saidia tafuta vyuo vya nje ambavyo wanaweza kuchukua mtu mwenye ufaulu wako.Jamani naomba msaada mm nimpata E flati HGL nataka kwenda degree vp naweza kufanya application bila tcu na kama naweza inaweza kuwa shilingi ngapi kutoa ili nifanikiwe kwa sababu baba yangu hana hela sana toka naanza chekechea hadi advance nimesoma private so sizani kama hata shidwa hiyo hela yakufanya apllicatuion bila tcu
asanteOmba diploma DPTE, then hakikisha unapata wastani mzuri wa 3.5GPA ili upate sifa ya ku apply chuo
Asipoteze mara ngapi mkuu,ameshapoteza huyo kwa maana huwezi soma private toka chekechea hadi kidato cha sita ukashindwa kuandika kiswahili vizuri na kupata matokeo mabovu kiasi hicho tena mchepuo wa HGL.Huna sifa usipoteze pesa na muda wako bure.
Pole na hakunaga tena hiyo kitu, minimum Bachelor Degree zote ni 4 pts na lazima ipitie TCU vinginevyo usihangaike jaribu Dip. tu.Jamani naomba msaada mimi nimepata E flati HGL nataka kwenda degree vp naweza kufanya application bila TCU?
Kama naweza, inaweza kuwa shilingi ngapi kutoa ili nifanikiwe kwa sababu baba yangu hana hela sana toka naanza chekechea hadi advance nimesoma private so sizani kama atashidwa hiyo hela yakufanya application bila TCU