Mwanga Lutila JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 4,291 Reaction score 14,786 Mar 20, 2018 #21 kitalembwa said: wewe ni me ? unatuletea mambo ya instagram ? Tanzania ya viwanda ileee Click to expand... Alichokileta ndio mambo yanayotakiwa jukwaa Hili. Haya mambo ya viwanda peleka jukwaa la siasa. Acheni unafki eti kujifanya mambo Instagram hamufatilii.
kitalembwa said: wewe ni me ? unatuletea mambo ya instagram ? Tanzania ya viwanda ileee Click to expand... Alichokileta ndio mambo yanayotakiwa jukwaa Hili. Haya mambo ya viwanda peleka jukwaa la siasa. Acheni unafki eti kujifanya mambo Instagram hamufatilii.
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,404 Reaction score 88,866 Mar 20, 2018 #22 Queen of drama anatafuta attention na kumrusha roho bi tukinao
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,839 Reaction score 47,770 Mar 20, 2018 #23 Yaani wanaume wanafki sana....nyie si mnajifanyaga hameundagi wala hamjainstall Insta? Huu umbea mmeupata wapi sasa?
Yaani wanaume wanafki sana....nyie si mnajifanyaga hameundagi wala hamjainstall Insta? Huu umbea mmeupata wapi sasa?
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,493 Reaction score 12,462 Mar 20, 2018 Thread starter #24 kitalembwa said: mwanaume wa dar umekaa kishankupe, kutuletea umbea wa instagram, utavalishwa dera punga wewe. Click to expand... Kamuulize mama ako na ile chu.pi yke ya kijani km mi punga au vipi ukishindwa sana muulize dada ako,matyako wewe!
kitalembwa said: mwanaume wa dar umekaa kishankupe, kutuletea umbea wa instagram, utavalishwa dera punga wewe. Click to expand... Kamuulize mama ako na ile chu.pi yke ya kijani km mi punga au vipi ukishindwa sana muulize dada ako,matyako wewe!
The Butcher JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 348 Reaction score 495 Mar 20, 2018 #25 Chinga One said: Kamuulize mama ako na ile chu.pi yke ya kijani km mi punga au vipi ukishindwa sana muulize dada ako,matyako wewe! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]this teply made my day... that way of writing some words[emoji38]
Chinga One said: Kamuulize mama ako na ile chu.pi yke ya kijani km mi punga au vipi ukishindwa sana muulize dada ako,matyako wewe! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]this teply made my day... that way of writing some words[emoji38]
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 13,848 Reaction score 23,435 Mar 20, 2018 #26 Wanauza maua
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,916 Reaction score 15,974 Mar 20, 2018 #27 Chinga One said: Kama rais wako anacoment na kulike kwenye page ya Udakutz we ni nani wa kujifanya hufatilii instagram Kyumar Khan! Click to expand... Kyumar Khan tena
Chinga One said: Kama rais wako anacoment na kulike kwenye page ya Udakutz we ni nani wa kujifanya hufatilii instagram Kyumar Khan! Click to expand... Kyumar Khan tena
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,421 Reaction score 72,276 Mar 20, 2018 #28 Chinga One said: Kama rais wako anacoment na kulike kwenye page ya Udakutz we ni nani wa kujifanya hufatilii instagram Kyumar Khan! Click to expand... 😀😀😀hii mupya hìiii
Chinga One said: Kama rais wako anacoment na kulike kwenye page ya Udakutz we ni nani wa kujifanya hufatilii instagram Kyumar Khan! Click to expand... 😀😀😀hii mupya hìiii
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,421 Reaction score 72,276 Mar 20, 2018 #29 Chinga One said: Kamuulize mama ako na ile chu.pi yke ya kijani km mi punga au vipi ukishindwa sana muulize dada ako,matyako wewe! Click to expand... Achana nae kwani huku wanaletaga mada gani? Unajua watu wanadhani wako sawa kwa kile wanachofikiria wao
Chinga One said: Kamuulize mama ako na ile chu.pi yke ya kijani km mi punga au vipi ukishindwa sana muulize dada ako,matyako wewe! Click to expand... Achana nae kwani huku wanaletaga mada gani? Unajua watu wanadhani wako sawa kwa kile wanachofikiria wao