Kwani dunia haiwezi kuitenga Marekani?

Kwani dunia haiwezi kuitenga Marekani?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,169
Marekani anawekea vikwazo kila mtu, kila taasisi na kila nchi. Sasa hivi imepandisha ushuru kwa nchi. Dunia inashindwa nn kuiwekea vikwazo Marekani? Nini kitatokea kama mataifa yataungana dhidi marekani kivikwazo vya uchumi na kutembeleana?
 
  • Kicheko
Reactions: Lax

Kwasasa ananguvu kubwa bado hivyo haiwezekani mkuu🤣,
JAmbo hili ni kama kauli za hivi waafrika hatuwezi wabagua wazungu? - kwa muda huu bado uwezo wa kufanya hivyo haupo
 
Marekani anawekea vikwazo kila mtu, kila taasisi na kila nchi. Sasa hivi imepandisha ushuru kwa nchi. Dunia inashindwa nn kuiwekea vikwazo Marekani? Nini kitatokea kama mataifa yataungana dhidi marekani kivikwazo vya uchumi na kutembeleana?

Mzarishajo prominent kabisa wa mahindi na vyakula vingine lundo,

Mzarishaji wa mbao na other prominent building materials rundo.

Mzarishaji wa some prominent war equipments,

Mmiliki wa makumpuni makubwa kabisa ya mafuta (though yapo kwenye nchi za kigeni )

Yani .... Ukiskia Israel ndo think tank upande wa innovation bas muisrael yupo kiganjan kwa mmarekan.

Kumtenga unaweza Ila lazima uwe ujasiri Sana kufanya hivyo.
 
Akikutekenya kwapani wewe mtekenye kiunoni. Dunia yajifunze kutumia bidhaa mbadala hata kama ni dhaifu kidogo kuliko za marekani. Hii inaweza kurekebisha wizania na ulali.
 
Ee ndio boss.
Ila kumtenga ni ngumu mnooo.

Akipandisha kodi pandisha Kodi.
Akizuia zako .. zuia zake.
Ivi tu.

Lakini zaidi meza zinapaswa zitumike ikiwa Kama chance inaruhusu.
 
Marekani anawekea vikwazo kila mtu, kila taasisi na kila nchi. Sasa hivi imepandisha ushuru kwa nchi. Dunia inashindwa nn kuiwekea vikwazo Marekani? Nini kitatokea kama mataifa yataungana dhidi marekani kivikwazo vya uchumi na kutembeleana?
ivi ww apo unaweza muwekea vikwazo bharesa au MO au samia?? ....tafakari chukua hatua.......iyo inaitwa impossible event.
 
Unataka kusema Marekani hawqhitaji watu wengine kwq lolote ila watu wwngine wanaihitaji marekani kwa kila kitu?
 
Marekani anawekea vikwazo kila mtu, kila taasisi na kila nchi. Sasa hivi imepandisha ushuru kwa nchi. Dunia inashindwa nn kuiwekea vikwazo Marekani? Nini kitatokea kama mataifa yataungana dhidi marekani kivikwazo vya uchumi na kutembeleana?
Ni sawa na kusema kwani tukiwagomea Tanesco kununua umeme wao tukatumia generator na tochi zetu watatushinda?
 
Marekani anawekea vikwazo kila mtu, kila taasisi na kila nchi. Sasa hivi imepandisha ushuru kwa nchi. Dunia inashindwa nn kuiwekea vikwazo Marekani? Nini kitatokea kama mataifa yataungana dhidi marekani kivikwazo vya uchumi na kutembeleana?
Mchukue JK mpite kila nchi tuungane against US itakuwa vyema sanaaa......natanguliza shukranii
 
Back
Top Bottom