Salute mkuu! Umetoa bonge la shule! ThanksMkuu,kuna hali mbili za asali, asali iliyohifadhiwa katika sega la nyuki(ambayo haijalinwa) huwaza kudumu angalau kwa MWAKA MMOJA kwani mle huweza kuingiliwa na vitu mbalimbali(uchafu,wadudu,kunyeshewa n.k) hivyo kuiharibu mapema.
Asali iliyolinwa halafu ikachujwa vizuri kuondoa uchafu na kuhifadhiwa kitaalamu HUDUMU MIONGO MINGI kwani huwa kavu hivyo hairuhusu bacteria kuzaliana(ukavu na kiwango kikubwa cha sukari hufanya asali kuwa mazingira yasiyoruhusu maji(hypertonic solution) wakati bacteria wao huishi mazingira yenye maji(hypotonic ) hivyo hukaa mbali na asali
addition asali ndio chakula pekee kinachoweza kukaa miaka hata 2000 bila kuozaMkuu,kuna hali mbili za asali, asali iliyohifadhiwa katika sega la nyuki(ambayo haijalinwa) huwaza kudumu angalau kwa MWAKA MMOJA kwani mle huweza kuingiliwa na vitu mbalimbali(uchafu,wadudu,kunyeshewa n.k) hivyo kuiharibu mapema.
Asali iliyolinwa halafu ikachujwa vizuri kuondoa uchafu na kuhifadhiwa kitaalamu HUDUMU MIONGO MINGI kwani huwa kavu hivyo hairuhusu bacteria kuzaliana(ukavu na kiwango kikubwa cha sukari hufanya asali kuwa mazingira yasiyoruhusu maji(hypertonic solution) wakati bacteria wao huishi mazingira yenye maji(hypotonic ) hivyo hukaa mbali na asali
Wow! Asante kwa shule!Sababu kuu ni mbili;
1.Hygroscopic nature ya asali kutokana n kuwa na kiwango kikubwa cha sukari,hivyo kuwafanya viumbe wanaopelekea vitu kuoza kama bakteria na fungi kukosa mazingira ya ku survive katika asali.
2.pH ya asali kwa kiasi kikubwa ni acidic ina round 3 up to 4.5,
kwa mazingira aya ya uasidi ni vigumu kwa agents wa uozeshaji kama bacteria na fungi kuweza kuishambulia na kuiozesha kwani wanapoingia kwenye asali hali ya uasidi uwamaliza.
Ni kweli mkuu! Leo nimetumia asali niliyopewa December last year nikajiuliza, hivi mbona imekaa siku nyingi na haijaharibika?Haise nimepata uelewa mzuri kwa watu waliotoa maelezo ya kitaalamu! Ahsanten sana
Big Up kwa nyuki kwa utaalamu wao ambao hata tbs hawana
hii inaweza kuwa sawa na tende, binafsi nina asali ya kutosha ndani has baada ya sakata la sukariNi kweli mkuu! Leo nimetumia asali niliyopewa December last year nikajiuliza, hivi mbona imekaa siku nyingi na haijaharibika?
Nikawaza zaidi ninavyoonaga watu wanakaa na dumu la asali kwa zaidi ya mwaka.
Kwa hiyo nikaona niulize
Mkuu nitumie na mim nitumie maana sukar bei yke imenshndahii inaweza kuwa sawa na tende, binafsi nina asali ya kutosha ndani has baada ya sakata la sukari
kanunue mkuuMkuu nitumie na mim nitumie maana sukar bei yke imenshnda
Sasa mkuu kama asali ina pH ndogo kiasi hicho tunawezaje kuila bila ndimi zetu kuwa corroded ????Sababu kuu ni mbili;
1.Hygroscopic nature ya asali kutokana n kuwa na kiwango kikubwa cha sukari,hivyo kuwafanya viumbe wanaopelekea vitu kuoza kama bakteria na fungi kukosa mazingira ya ku survive katika asali.
2.pH ya asali kwa kiasi kikubwa ni acidic ina round 3 up to 4.5,
kwa mazingira aya ya uasidi ni vigumu kwa agents wa uozeshaji kama bacteria na fungi kuweza kuishambulia na kuiozesha kwani wanapoingia kwenye asali hali ya uasidi uwamaliza.
pH zaidi ya 2 mara zote huwa ni za weak acid ambazo hazina madhara kwa binadamu na huwa tunakula kila siku hasa kwenye matunda kama limao.Sasa mkuu kama asali ina pH ndogo kiasi hicho tunawezaje kuila bila ndimi zetu kuwa corroded ????