Kwangu mimi ilikuwa ni kama ndoto

Kwangu mimi ilikuwa ni kama ndoto

IWE NI KISA CHA KWELI AU PAUKWA PAKAWA, KUNA MAZINGATIO KADHAA NDANI YAKE.
1. WEMA HAUOZI.
2. TENDA WEMA NENDA ZAKO USINGOJE SHUKRAN.
3. UMUHIMU WA KUMSAIDIA MUHITAJI, UKIWA NA UWEZO.
4. KUNA UJIRA MKUBWA KATIKA KUTOA, UTALIPWA MARA DUFU HAPA DUNIANI NA HUKO TUENDAPO BAADA YA KUFA PIA UTALIPWA. AMIIN
 
Daima milele wema ni akiba, tenda wema kwa kadiri uwezavyo bila kujali ukubwa au udogo wa wema hup kwani iko siku utalipwa.
 
hii stori alishawahi leta mtambuzi nyuma kidogo
 
Mkuu ungetoa credit kwa Mkuu#Mtambuzi na gazeti la jitambue.. hata hivyo umefanya vizuri kwa faida ya wengi.
 
Story yako ni nzuri sana, ina ujimbe mwanana na kuonesha karma uliyoipata
 
Back
Top Bottom