Wanabodi baada ya kuzuka utata kwenye hivi vingamuzi kuhusu FTA tumeona channel nyingi za local zimeondolewa kwenye Azam,Zuku nk lkn hili li Tbc lipo halijaondolewa kuna exempt gani inayoifanya iwepo?Azam wameondoa zote kasoro TBC
mimi sijaelewa kwahiyo hizo huduma nyingine tutazipata vipi yaani kama mtu anatumia dstv hizo channel nyingine za local zinapatikana vipi au mimi sijaelewa.
mimi sijaelewa kwahiyo hizo huduma nyingine tutazipata vipi yaani kama mtu anatumia dstv hizo channel nyingine za local zinapatikana vipi au mimi sijaelewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.