Nilipofika hapa nilipewa codes za kuondoka salama, ila nilielekezwa kijiji cha jirani ambako ndio funga kazi...nilitamani kukitembelea pia, ni masaa kama mawili hivi. Unaingia ndani huko, na ndio nikafanikiwa kupata japo hiyo picha hapo juu
Hapana, mimi c wa hapo mimi nilienda na mambo yangu tuu, ila hapo sikukaa sana niliingia vijiji vya ndani zaidi...ilikuwa ni safari ya kujionea kuliko kuhadithiwa.
Nakumbuka tulikuwa tunakunywa ndani ya kibanda barabarani kuna mtu alikuwa anapita alipiga mweleka wa kufa mtu halafu kwa pembeni mtoto mmoja akawa anamwambia mwenzie si nilikuambia hii kiboko aliyonipa bibi, sikuwaelewa muuza chai akasema tuwe na adabu hata kwa kitoto kidogo akiwa na maana huyo mtoto alipewa kitu kipya na bibi yake sasa alikifanyia majaribio kwa kumwangusha yule mpita njia

Huko cha kwanza niliambiwa ukimuona mtu akuangalia sana hilo ni zongo. Sasa dawa yake akikuna ziwa nawe kuna, akikuna nywele nawe kuna mda huo huo akikuna paja Fanya hivyo Ukichelewa tuu imekula kwako....huko ni kuishi kwa machale mwanzo mwisho...nashukuru mungu nimerudi salama
Nilipofika hapa nilipewa codes za kuondoka salama, ila nilielekezwa kijiji cha jirani ambako ndio funga kazi...nilitamani kukitembelea pia, ni masaa kama mawili hivi. Unaingia ndani huko, na ndio nikafanikiwa kupata japo hiyo picha hapo juu
Much respect hapa mahali...paone hivyo hivyo na vijumba vyake hivyo...Gambosh cha mtoto...wazee wa vilinge watanielewa vema...hapo ni international airport backup yake na control tower viko msata