Mapolomoko JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 1,751 Reaction score 422 May 4, 2013 #1 umechinja beberu la mbuzi ukaamua kuchoma pumbu. Mbwa akazipitia watotowako wakaanza kukwambia baba Mbwa kachukua pumbuzako, mara wanaanza kumfukuza huku wakipiga kelele ludisha pumbu za baba. je, wewe kama baba utawakataza kumfukuza au utauchuna?
umechinja beberu la mbuzi ukaamua kuchoma pumbu. Mbwa akazipitia watotowako wakaanza kukwambia baba Mbwa kachukua pumbuzako, mara wanaanza kumfukuza huku wakipiga kelele ludisha pumbu za baba. je, wewe kama baba utawakataza kumfukuza au utauchuna?
K KIBONGOMKUTI JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 1,425 Reaction score 616 May 5, 2013 #2 ww ni noumer
L lango moja Member Joined Apr 29, 2013 Posts 9 Reaction score 0 May 5, 2013 #3 Ha ha ha ha pumbu za baba..
D dotcomlady Senior Member Joined May 2, 2013 Posts 137 Reaction score 11 May 5, 2013 #4 Mh mh Napitaa tuuu Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
T Tinambuya JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 419 Reaction score 41 May 5, 2013 #5 Hahahahahaha duuh nimekubamba Sent from my BlackBerry 9700using Jamie's
mkupuo JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,840 Reaction score 2,132 May 5, 2013 #6 Mi sikubali,lazima watoto wamkimbize mbwa hadi wayapate mapumbu yangu! chezea utamu wa mapumbu weye!
ndendi JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 625 Reaction score 184 May 6, 2013 #7 zinaitwa,ashua
BUCHANAGANDE JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 1,512 Reaction score 482 May 6, 2013 #8 Lazima kieleweke. Mbwa lazima aseme ilikuwaje hakuona nyama nyingine akaona mapumbu tu. Watoto wakifanikiwa kuyarudisha nawapa *hongera kwa kunirudishia mapumbu yangu*
Lazima kieleweke. Mbwa lazima aseme ilikuwaje hakuona nyama nyingine akaona mapumbu tu. Watoto wakifanikiwa kuyarudisha nawapa *hongera kwa kunirudishia mapumbu yangu*