'Kwamba Yanga haikupata hata mpira mmoja wa Kona' nashindwa kuelewa

Yaani Zesco wapate mipira ya kona 6,afu Yanga no corner kick...!!! Sielewi
Ni jambo la kawaida ktk soka mkuu, kuna mwaka sikumbuki vizuri Manchester United dhidi ya Barca fainali ya UEFA. Man U chini ya mzee Ferguson nao walikosa hata kona moja, walikula 3-0 magoli ya Barca yalifungwa na David Villa, Pedro na Messi kama sikosei.
Mzee Ferguson kuna muda mpaka alikuwa anatetemeka kama simu iko ktk vibration.
 
Nakubaliana na wewe sometimes mpira wa miguu ni 'mateso'..kinachochanganya hapa huyu mtu aliyekudhibiti kwako ukashindwa kupata hata kona moja,sasa uende kwake upate matokeo.
 
Waganga wa kienyeji ndio zenu hata UEFA liver baada ya kupigwa kule Spain mlijua keshatoka ila matokeo yake mnayo kwenye kumbukumbu za vichwa vyenu.

Next game Yanga anashinda au droo ya 2-2.
 
Du,hii Yanga yangu sijui itajwaje hata kwenye ligi..wtf scouting ya striker hata wa hapa nyumbani ilishindikana na jina lingepelekwa caf mapema kabisa na angesaidia...daaa mmmmh aiseee...leo hii yanga ni yakuangaika kutafta magoli..Patrick Sibomana n mchezaj mzur but naona kama anashuka kiwango,sijui n mfumo wa kocha?!??.
 
Nakubaliana na wewe sometimes mpira wa miguu ni 'mateso'..kinachochanganya hapa huyu mtu aliyekudhibiti kwako ukashindwa kupata hata kona moja,sasa uende kwake upate matokeo.
Mpira wa sasa haupo hivyo mkuu, kama assumption yako ingekuwa sawa basi Simba angemfunga nyingi UD Songo. Halafu mpira ulivyo wa ajabu jana UD Songo kachezea kwa Platinum FC ya Zimbabwe.
 
Ni jambo la kawaida ktk soka mkuu, kuna mwaka sikumbuki vizuri Manchester United dhidi ya Barca fainali ya UEFA. Man U chini ya mzee Ferguson nao walikosa hata kona moja, walikula 3-0 magoli ya Barca yalifungwa na David Villa, Pedro na Messi kama sikosei.
Mzee Ferguson kuna muda mpaka alikuwa anatetemeka kama simu iko ktk vibration.
Ilikuwa 2011. Ilikuwa fainali moja matata sana.
 
Mpira wa sasa haupo hivyo mkuu, kama assumption yako ingekuwa sawa basi Simba angemfunga nyingi UD Songo. Halafu mpira ulivyo wa ajabu jana UD Songo kachezea kwa Platinum FC ya Zimbabwe.
Kwa kile kilichojiri pale kwa mkapa kupita kwetu kwenda makundi CCL ni miujiza na kudura za maulana tu...! Hata kama mpira unadunda ndo kona zote 6 zidundie kwetu?
 
Back
Top Bottom