stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,484
hukujui PM
Ninamunyonyesha mutoto.Heshima kwako!!
habari za siku tele natumai u bukheri wa afya njema
lengo la uzi huu ni kukusalimu mrembo,nimekumbuka mno zile thread zako ulizokuwa ukiziandika kwa lafudhi ya kikongo kwani ulikuwa ukinifurahisha.
sina lengo baya kuandika hii thread bali kukusalim na kukuuliza mbona umepotea jamvini?
wako
mchicha mbogq
Haa haaa Zahara White lazima akumisi majibu yako.
Mutoto yangu iko mudogo yasumbua sana.
Mutoto ananyonya mudiplomat ananyonyea nimekonda muno.
Ninamunyonyesha mutoto.
Nipo busy
Heshima kwako!!
habari za siku tele natumai u bukheri wa afya njema
lengo la uzi huu ni kukusalimu mrembo,nimekumbuka mno zile thread zako ulizokuwa ukiziandika kwa lafudhi ya kikongo kwani ulikuwa ukinifurahisha.
sina lengo baya kuandika hii thread bali kukusalim na kukuuliza mbona umepotea jamvini?
wako
mchicha mbogq
hahahaaaaaa mchicha mbogq kumbe nawe domo zege usizunguke mbuyu hit da point

kumefungwa.. lol!
Zahra White kapotea haswaa!!