Kwako sikukuu ilikuwaje?

We ushamaliza kusherekea?!

Una umri gani?!mbona ndio kwanza sikukuu ya watu wazima ndio inaanza mida hii
 
Mapema mnoooo kutoa tathmini kwangu sikukuuuuu inaendeleaaaa
 
Hii ni siku ya kutulia nyumbani lkn ibilisi atafanya yake ili wengine wabakwe. Wengine waambukizwe virusi. Wengine wapewe mimba. Wengine wavunjiwe maduka. Wengine watolewe meno. Ndoa kuvunjika. Wengine wanywe mpaka wafe. Wengine walale polisi etc. Leo unatakiwa uwe Benet na wife Kama ndio mmeanzana vile
 
nilinunua kuku wa tatu na madiko diko asubui kama elf 50 nikanunua juice elf 20 nikamnunulia mama mwenye nyumba wa zamani kikaton cha tusker lite lite supermarket 45000 nikapika nikala na marafiki zangu wamelala huko mimi nachati hapa sina usingizi nahisi laki imekata sijui nitapata wapi mzamini january *****!
 
Mama mwenye nyumba wa zamani 45,000 you must be joking. Bi mkubwa u(mama mzazi ) ulimtumia kiasi gani ???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…