Wewe toka. Jirani nae ameshajua unatoka kwenda kulewa nae anajiandaa kwenda kumburudisha mama wa Huyo mtoto uliyemrudisha. Kufa kufaana.Ndo namrudisha Mwanangu nyumbani akalale kisha mi nirudi kupiga vyombo. Nitacomment nikishatoka huko baadae.
Siku ukipata kitu cha mmakonde utabadili usemi.Nimechoma wese la 50,000/= kwenda kula mzigo wa kigogo makao makuu na nimepuliza nyingine 150,000/= saiv nimebaki na vitu viwil tu vimening'inia na mawazo yameanza kujaa kichwan maana nimebain hivi vitu ni vile vile tu iwe cha mgogo au mchagga
Balimi?? Kweli wewe Mwanamke jembeNimekula ugali wangu na samaki sasa hivi nashushia balimi extra lager
Unywaji wa pombe umebarikiwa na kiongozi wa madhehebu fulani,mwache mdada aangushe gari.Balimi?? Kweli wewe Mwanamke jembe
Ukiangusha gari ni beepNimekula ugali wangu na samaki sasa hivi nashushia balimi extra lager
QUICK REMINDER:Tangu asubuhi mpaka sasa nimeshatumia 42,400 hiyo January sijui itakuaje kwa ufujaji huu wa pesa. Hata hivyo ilikua bomba
Aiseeee tena huwa hainileweshi nikitaka kulewa nakunywa na konyagiBalimi?? Kweli wewe Mwanamke jembe
Ili?Ukiangusha gari ni beep