Magufuli Tumekukosea Nini??
Nayaandika haya kwa machungu makubwa sana.
Ulituomba kura, uliongea kwa uchungu sana ukidai unahitaji kuwasaidia Watanzani, ulilia hadi machozi majukwaani, uliishiwa mpaka sauti kwa kueleza machungu yako uliyokuwa ukiyapata kwa sababu ya umaskini, uduni wa maisha, Ajira kwa Vijana, Elimu kwa mtoto wa Maskini, mateso ya wamachinga, Mama ntilie , wakulima, wafugaji, wavuvi , wafanyabiashara n.k.
Hakika tuliona neema kwako kipindi kile, tukajua Israeli sasa ameshuka Tanzania.
Mh Magufuli nayaandika haya kwa machungu mno, maisha yamekuwa mabaya sana mtaani, vijana wanazagaa tu, kila mtu amebaki kutafuta kifungua kinywa na ili mradi tumbo lishibe, wasomi wanalia kila kona ya nchi, vijana wengi wamekondeana, hawana afya, watu wana stress kila mahali, sio watumishi wa Mungu, sio wafanyabiashara, sio wanafunzi, sio wafugaji, sio wakulima, sio machinga wala mama Ntilie. Vijana wanaonekana wazee kabla ya umri, stress zimejaa kwa kila famili nchi nzima, Tatizo ni nini , tumekosea wapi Ndugu yetu Magufuli,,,,,,,
Matukio ya mauaji, utekaji, ujambazi, majanga yenye sura ya kukomoa yamekuwa kawaida tena maskioni mwa Watanzani. Roho ya mtu kutolewa kwa sasa imekuwa kawaida na kutolewa majibu marahisi tu "Watu wasiojulikana"
Sio viongozi , sio raia, sio wasanii, sio vijana wala wazee wanapotezwa kila uchwao, ni wapi Magufuli tulipokosea??
Maisha yameturudisha miaka 70 nyuma enzi za mkoloni ambapo Mtu mweusi anachukuliwa kama sio Binadamu, hana haki yeyote katika maisha yake. Hakika vijana ambao tuna maono ya kuwa na maisha yetu binafsi kwa ajili ya baadae tayari tumepoteza direction ya maisha kabisa, Vijana tunaogopa hata kuoa, umri unaenda, sijui tutakuwa Taifa la namna gani.
Magufuli umeyaharibu maisha, vijana wengi tumesoma lakini hatuna mchango wowote kwa Taifa letu, tumekaa mitaani, tunaomba Mungu usiku na mchana Miujiza itokee tule tushibe tulale, matumaini ya wazazi wetu kwetu hayapo tena. Kweli sijui tumekosea wapi kwako Mzee wetu.
Tunaishi kwa maisha ya wasiwasi, hakuna mwenye uhakika wa kesho yake, sijui kwanini umeshindwa kuelewa hii hali mpaka sasa, Najua kiyoyozi , misafara ya kifahari ya magari zaidi ya 200 ambayo yamezingirwa kwa mitutu ya Bunduki pengine yanakufanya usielewe nini kinaendelea nje, tunaomba uelewe tayari nchi haina mwelekeo wenye matumaini yeyote. Hakuna sera rafiki inayoonekana mpaka sasa, najua unaweza kupata huu ujumbe lakini bado ukasema kwa lugha yako ile ya kiyunani, " FANYA KAZI".
Magufuli tunaomba uelewe hakuna binadamu mkamilifua, wote tumekuja kwa njia moja na kwa njia moja tutaondoka, haijalishi mwingine alikuwa Rais, waziri n.k , elewa manung'uniko haya hayataishia kwenye kizazi hiki tu, Vizazi zaidi ya 3 vitanung'unika juu yako hata ukiwa kaburini, Watoto watalia, wataomboleza kwa ugumu wa maisha wanaopata wengine hawatosoma na kufikia ndoto zao sawa sawa, wengi watasema. "maisha yalikuwa magumu sana ningesoma vizuri mimi"
Ujumbe huu nimeuandika nikiwa na machungu sana, Taifa linapita katika mapito magumu mno, hata uhuru wa kuabudu unanyimwa na utawala wako, Yalifanyika maombi mengi sana kukuombea, viwanjani, makanisani, misikitini mpk chini ya miti. Lakini kumuombea mgonjwa kwa ibada na imani imekuwa shida leo kisa ni wa itikadi tofauti, Naomba Israeli akutembelee katika hili na anene kwa njia zote nawe.
Magufuli kumbuka hata wewe hauna hati miliki yeyote ya Kuishi duniani milele, jambo hili limekuwa chukizo mbele za Mungu wetu, nakuomba sana Moyo wako usijae kiburi wala ulimi wako usiwe mwepesi wa kunena, matendo yako mengi yatalipwa hapa Duniani, Mbinguni ni sehemu ya kukamilisha tu matukio yako ya hapa.
Magufuli tambua kwamba unyanyasaji unaotufanyia Mungu atakunyanyasa sawa sawa na kiasi cha kila chozi linalodondoka hapa.
Naendelea Kumuuliza Mungu juu ya Utawala huu, utawala wenye kiburi, majivuno, ubabe na kila aina ya uuaji kwa raia wake.
Natamani nione nchi iliyojaa Upendo, uvumilivu, Heshima, Ubinadamu, Haki, Utawala wa sheria, Uchumi imara na Utajiri wa nafsi, mali na Roho. Nchi ya kumcha Mungu.....n.k
Naomba sana Ujumbe huu ukufikie kwa muda uliopangwa na Mungu.
Hakuna sababu ya kuniita mchochezi, nimeysema yaliyoujaza moyo wangu, sitaki kuona naendelea kusononeka, natamani ningepata hata nafasi ya kukueleza haya lakini nimeona hata huku huwa unapitia sana, kama si wewe basi wasaidizi wako.
Ahsante
Niite ; GOODLUCK

Ukiamua kushinda kwenye mitandao ya kijamii,lazima maisha yawe magumu.Ukipita mitaaani hasa maeneo ya machinga,mama ntilie,waendesha pikipiki,wauza mitumba,wauza kahawa,matunda.. Sokoni na kila sehemu,karibu nchi nzima watu wanaendelea na maisha yao ya kila siku,kwa amani na furaha tele.Nyie mliomaliza vyuo na wote mnategemea mchukuliwe na serikali na kila mtu anataka kazi ya TRA na tai kubwa ndo mna wakati mgumu.Hii sio sasa hivi tu,ni miaka yote,tofauti ni kuwa huko nyuma kuna ndugu walikuwa wanawa boost kidogo kidogo kwenye uchumi,zamu hii wamebanwa.Kuwa mbunifu,kulalamika hakusaidii.Ukibisha endelea kuilalamikia serikali,kama una uwezo wa kuiondoa kila la heri,ila yatakayokukuta utahadithia.Kama huna uwezo kuwa mbunifu,mambo yakufanya ni mengi hata ukiwa na elfu 50 tu.Uhuru wa kuabudu upo mkubwa tu,uhuru wa kuzungumza upo mkubwa tu,tatizo ni linapoletwa swala kisiasa,BAVICHA mnataka kumuombea Lissu himizaneni kila mtu alipo TZ nzima amuombee Lissu kwa wakati wake,au mpange kuanzia saa 9 jioni nchi nzima mumuombee Lissu kila mtu alipo,au kila mtu aende kanisani kwake na wa misikitini waende huko huko,hii ya kukusanyana Manzese na wa mikoani wakusanyane wapi?... Ukimchukulia JPM kwa jicho la kisiasa lazima umchukie,ila ukimuangalia kwa jicho la kujinasua hana baya,wewe pambana na hali yako,awamu zote zilizopita watu walalamishi kama wewe hawajawahi kukosekana,wapo tu.

Hahaha huwezi kuelewa.,kuna nati umeshazi tight upande mmoja,haziruhusu kuelewa upande mwingine kabisa.Sio wewe tu,mpo wengi.Mkuu hii ni CiNEMA gani unayoihadisia maana nimeanza juu kuisoma lkn sijaielewa
Anyway Mgoja nianze kusoma kwa chini kwenda juu huenda nitaielewa
Ww unafikiri Bashite atasema hali ni ngumu? Nadhan hali yenyewe inaonekana kabsa.Ukiamua kushinda kwenye mitandao ya kijamii,lazima maisha yawe magumu.Ukipita mitaaani hasa maeneo ya machinga,mama ntilie,waendesha pikipiki,wauza mitumba,wauza kahawa,matunda.. Sokoni na kila sehemu,karibu nchi nzima watu wanaendelea na maisha yao ya kila siku,kwa amani na furaha tele.Nyie mliomaliza vyuo na wote mnategemea mchukuliwe na serikali na kila mtu anataka kazi ya TRA na tai kubwa ndo mna wakati mgumu.Hii sio sasa hivi tu,ni miaka yote,tofauti ni kuwa huko nyuma kuna ndugu walikuwa wanawa boost kidogo kidogo kwenye uchumi,zamu hii wamebanwa.Kuwa mbunifu,kulalamika hakusaidii.Ukibisha endelea kuilalamikia serikali,kama una uwezo wa kuiondoa kila la heri,ila yatakayokukuta utahadithia.Kama huna uwezo kuwa mbunifu,mambo yakufanya ni mengi hata ukiwa na elfu 50 tu.Uhuru wa kuabudu upo mkubwa tu,uhuru wa kuzungumza upo mkubwa tu,tatizo ni linapoletwa swala kisiasa,BAVICHA mnataka kumuombea Lissu himizaneni kila mtu alipo TZ nzima amuombee Lissu kwa wakati wake,au mpange kuanzia saa 9 jioni nchi nzima mumuombee Lissu kila mtu alipo,au kila mtu aende kanisani kwake na wa misikitini waende huko huko,hii ya kukusanyana Manzese na wa mikoani wakusanyane wapi?... Ukimchukulia JPM kwa jicho la kisiasa lazima umchukie,ila ukimuangalia kwa jicho la kujinasua hana baya,wewe pambana na hali yako,awamu zote zilizopita watu walalamishi kama wewe hawajawahi kukosekana,wapo tu.
Wauza kahawa wanarudi na kahawa zao zimejaa mabirika nyumbani huku akibebamkononi senti hamsinitu.Ukiamua kushinda kwenye mitandao ya kijamii,lazima maisha yawe magumu.Ukipita mitaaani hasa maeneo ya machinga,mama ntilie,waendesha pikipiki,wauza mitumba,wauza kahawa,matunda.. Sokoni na kila sehemu,karibu nchi nzima watu wanaendelea na maisha yao ya kila siku,kwa amani na furaha tele.Nyie mliomaliza vyuo na wote mnategemea mchukuliwe na serikali na kila mtu anataka kazi ya TRA na tai kubwa ndo mna wakati mgumu.Hii sio sasa hivi tu,ni miaka yote,tofauti ni kuwa huko nyuma kuna ndugu walikuwa wanawa boost kidogo kidogo kwenye uchumi,zamu hii wamebanwa.Kuwa mbunifu,kulalamika hakusaidii.Ukibisha endelea kuilalamikia serikali,kama una uwezo wa kuiondoa kila la heri,ila yatakayokukuta utahadithia.Kama huna uwezo kuwa mbunifu,mambo yakufanya ni mengi hata ukiwa na elfu 50 tu.Uhuru wa kuabudu upo mkubwa tu,uhuru wa kuzungumza upo mkubwa tu,tatizo ni linapoletwa swala kisiasa,BAVICHA mnataka kumuombea Lissu himizaneni kila mtu alipo TZ nzima amuombee Lissu kwa wakati wake,au mpange kuanzia saa 9 jioni nchi nzima mumuombee Lissu kila mtu alipo,au kila mtu aende kanisani kwake na wa misikitini waende huko huko,hii ya kukusanyana Manzese na wa mikoani wakusanyane wapi?... Ukimchukulia JPM kwa jicho la kisiasa lazima umchukie,ila ukimuangalia kwa jicho la kujinasua hana baya,wewe pambana na hali yako,awamu zote zilizopita watu walalamishi kama wewe hawajawahi kukosekana,wapo tu.
Baba ako angepigwa kama Lissu usingefika hapa kutetea yasiyofaa kwenye Jamii.. Mara ngapi watu wamekutana taifa kumuombea yeye, nani kakuambia Uwanja wa taifa ni msikiti au kanisani... Acha kukumbatia miba wewe... Boti linazama na wote hiliUkiamua kushinda kwenye mitandao ya kijamii,lazima maisha yawe magumu.Ukipita mitaaani hasa maeneo ya machinga,mama ntilie,waendesha pikipiki,wauza mitumba,wauza kahawa,matunda.. Sokoni na kila sehemu,karibu nchi nzima watu wanaendelea na maisha yao ya kila siku,kwa amani na furaha tele.Nyie mliomaliza vyuo na wote mnategemea mchukuliwe na serikali na kila mtu anataka kazi ya TRA na tai kubwa ndo mna wakati mgumu.Hii sio sasa hivi tu,ni miaka yote,tofauti ni kuwa huko nyuma kuna ndugu walikuwa wanawa boost kidogo kidogo kwenye uchumi,zamu hii wamebanwa.Kuwa mbunifu,kulalamika hakusaidii.Ukibisha endelea kuilalamikia serikali,kama una uwezo wa kuiondoa kila la heri,ila yatakayokukuta utahadithia.Kama huna uwezo kuwa mbunifu,mambo yakufanya ni mengi hata ukiwa na elfu 50 tu.Uhuru wa kuabudu upo mkubwa tu,uhuru wa kuzungumza upo mkubwa tu,tatizo ni linapoletwa swala kisiasa,BAVICHA mnataka kumuombea Lissu himizaneni kila mtu alipo TZ nzima amuombee Lissu kwa wakati wake,au mpange kuanzia saa 9 jioni nchi nzima mumuombee Lissu kila mtu alipo,au kila mtu aende kanisani kwake na wa misikitini waende huko huko,hii ya kukusanyana Manzese na wa mikoani wakusanyane wapi?... Ukimchukulia JPM kwa jicho la kisiasa lazima umchukie,ila ukimuangalia kwa jicho la kujinasua hana baya,wewe pambana na hali yako,awamu zote zilizopita watu walalamishi kama wewe hawajawahi kukosekana,wapo tu.
Mku atatumia radio ya Diallo lazima awe sehemu ya promoL
eo mchungaji Fernandes agape kamsifia sana magufuli mpaka sijaelewa kwanini na mauaji haya yanayopangwa dhidi ya wanavyama mbadala
Magufuli Tumekukosea Nini??
Nayaandika haya kwa machungu makubwa sana.
Ulituomba kura, uliongea kwa uchungu sana ukidai unahitaji kuwasaidia Watanzani, ulilia hadi machozi majukwaani, uliishiwa mpaka sauti kwa kueleza machungu yako uliyokuwa ukiyapata kwa sababu ya umaskini, uduni wa maisha, Ajira kwa Vijana, Elimu kwa mtoto wa Maskini, mateso ya wamachinga, Mama ntilie , wakulima, wafugaji, wavuvi , wafanyabiashara n.k.
Hakika tuliona neema kwako kipindi kile, tukajua Israeli sasa ameshuka Tanzania.
Mh Magufuli nayaandika haya kwa machungu mno, maisha yamekuwa mabaya sana mtaani, vijana wanazagaa tu, kila mtu amebaki kutafuta kifungua kinywa na ili mradi tumbo lishibe, wasomi wanalia kila kona ya nchi, vijana wengi wamekondeana, hawana afya, watu wana stress kila mahali, sio watumishi wa Mungu, sio wafanyabiashara, sio wanafunzi, sio wafugaji, sio wakulima, sio machinga wala mama Ntilie. Vijana wanaonekana wazee kabla ya umri, stress zimejaa kwa kila famili nchi nzima, Tatizo ni nini , tumekosea wapi Ndugu yetu Magufuli,,,,,,,
Matukio ya mauaji, utekaji, ujambazi, majanga yenye sura ya kukomoa yamekuwa kawaida tena maskioni mwa Watanzani. Roho ya mtu kutolewa kwa sasa imekuwa kawaida na kutolewa majibu marahisi tu "Watu wasiojulikana"
Sio viongozi , sio raia, sio wasanii, sio vijana wala wazee wanapotezwa kila uchwao, ni wapi Magufuli tulipokosea??
Maisha yameturudisha miaka 70 nyuma enzi za mkoloni ambapo Mtu mweusi anachukuliwa kama sio Binadamu, hana haki yeyote katika maisha yake. Hakika vijana ambao tuna maono ya kuwa na maisha yetu binafsi kwa ajili ya baadae tayari tumepoteza direction ya maisha kabisa, Vijana tunaogopa hata kuoa, umri unaenda, sijui tutakuwa Taifa la namna gani.
Magufuli umeyaharibu maisha, vijana wengi tumesoma lakini hatuna mchango wowote kwa Taifa letu, tumekaa mitaani, tunaomba Mungu usiku na mchana Miujiza itokee tule tushibe tulale, matumaini ya wazazi wetu kwetu hayapo tena. Kweli sijui tumekosea wapi kwako Mzee wetu.
Tunaishi kwa maisha ya wasiwasi, hakuna mwenye uhakika wa kesho yake, sijui kwanini umeshindwa kuelewa hii hali mpaka sasa, Najua kiyoyozi , misafara ya kifahari ya magari zaidi ya 200 ambayo yamezingirwa kwa mitutu ya Bunduki pengine yanakufanya usielewe nini kinaendelea nje, tunaomba uelewe tayari nchi haina mwelekeo wenye matumaini yeyote. Hakuna sera rafiki inayoonekana mpaka sasa, najua unaweza kupata huu ujumbe lakini bado ukasema kwa lugha yako ile ya kiyunani, " FANYA KAZI".
Magufuli tunaomba uelewe hakuna binadamu mkamilifua, wote tumekuja kwa njia moja na kwa njia moja tutaondoka, haijalishi mwingine alikuwa Rais, waziri n.k , elewa manung'uniko haya hayataishia kwenye kizazi hiki tu, Vizazi zaidi ya 3 vitanung'unika juu yako hata ukiwa kaburini, Watoto watalia, wataomboleza kwa ugumu wa maisha wanaopata wengine hawatosoma na kufikia ndoto zao sawa sawa, wengi watasema. "maisha yalikuwa magumu sana ningesoma vizuri mimi"
Ujumbe huu nimeuandika nikiwa na machungu sana, Taifa linapita katika mapito magumu mno, hata uhuru wa kuabudu unanyimwa na utawala wako, Yalifanyika maombi mengi sana kukuombea, viwanjani, makanisani, misikitini mpk chini ya miti. Lakini kumuombea mgonjwa kwa ibada na imani imekuwa shida leo kisa ni wa itikadi tofauti, Naomba Israeli akutembelee katika hili na anene kwa njia zote nawe.
Magufuli kumbuka hata wewe hauna hati miliki yeyote ya Kuishi duniani milele, jambo hili limekuwa chukizo mbele za Mungu wetu, nakuomba sana Moyo wako usijae kiburi wala ulimi wako usiwe mwepesi wa kunena, matendo yako mengi yatalipwa hapa Duniani, Mbinguni ni sehemu ya kukamilisha tu matukio yako ya hapa.
Magufuli tambua kwamba unyanyasaji unaotufanyia Mungu atakunyanyasa sawa sawa na kiasi cha kila chozi linalodondoka hapa.
Naendelea Kumuuliza Mungu juu ya Utawala huu, utawala wenye kiburi, majivuno, ubabe na kila aina ya uuaji kwa raia wake.
Natamani nione nchi iliyojaa Upendo, uvumilivu, Heshima, Ubinadamu, Haki, Utawala wa sheria, Uchumi imara na Utajiri wa nafsi, mali na Roho. Nchi ya kumcha Mungu.....n.k
Naomba sana Ujumbe huu ukufikie kwa muda uliopangwa na Mungu.
Hakuna sababu ya kuniita mchochezi, nimeysema yaliyoujaza moyo wangu, sitaki kuona naendelea kusononeka, natamani ningepata hata nafasi ya kukueleza haya lakini nimeona hata huku huwa unapitia sana, kama si wewe basi wasaidizi wako.
Ahsante
Niite ; GOODLUCK
hiyo elimu bure wewe unaiyona..!!!Daaahh,,POLE SAANA KWA MACHUNGU ULIONAYO MPAKA UKAAMUA KUITAPIKA HIO NYONGO YAKO ILI UTOE MACHUNGU YOOTE YANAXOKUKABILI MKUU..pole sana
MKUU KAMA UTAKUMBUKA AWAMU YA MKAPA MLIONGOZA/WALIONGOZA KWA KULIA NA KUSEMA KUA HUU NI WAKATI WA UKAPA KABXAAAA..kulitokea mgomo Zanzibar na wabunge wa CUF walisusia kwenda bungeni MATOKEO YAKE HAO WABUNGE WALIFUTWA BUNGENI.kuna MAANDAMANO YALITOKEA HUKO VISIWANI KUTOKANA NA HIZO VURUGU WAKAUWAWA RAIA KAMA SIKOSEI WA3..
Hao hao wazanzibari wakachukulia hio advantage kujilipua nchi za watu kama kujifanya wakimbizi..ATI KISIWA CHA ZNZ HAKINA USALAMA(kama anavo copy&paste M/kiti wa CDM kwasasa)
Huo ulikua utawala wa Mh Benja
Ktk huo huo UTAWALA WAKE ILITOKEA AJALI YA TRENI NA AJALI YA MV BUKOBA ILISHUSHWA HADI BENDERA YA TZ KWAJILI YA MAOMBOLEZO!!najua hizi kumbukumbu huna kwasbb awamu hio ulikua hata HUJABALEGHE
MAJAMBAZI NA UTEAKAJI ULISHAMIRI NCHI NZIMA ILIFKIA HATUA MKITEKWA MNAIMBISHWA WIMBO WA MTAJI WA MASKINI NGUVU ZAKE MWENYEWE
NIKIINGIA TENA HISTRY YA AWAM YA 4 NTAJAZA KURASA MIA8 bora niishie hapa nikujibu nakukupunguzia hayo machungu ya kinafiki
AWAMU HII YA 5 NDIO UNAILALAMIKIA ATI UJAMBAZI UTEKAJI MAUAJI HALI NGUMU KIMAISHA
WEWE HUNA WATOTO HUJUI ADA ZA SHULE,,,,,,LEO MWANAFUNZI ANASOMA BUREEE,,,,!!!
Wewe SIO MKULIMA WALA MFUGAJI leo WAKULIMA NA WAFUGAJI THUBUTU WATOZWE USHURU WAO WA KUUZA MIFUGA AU MAZAO YAO.
MSITUMWE TU KUFUNGUA THREAD HUMU ILI MVUTE POSHO
IVI VIZAZI VYA DIGITALI TABU SANA![]()
unayajua majukumu ya serikali?Mkuu ukijikita kwenye kazi zako wala hayo ya upendo sijui nini hatahangaika nayo...Pambana na hali yako.
Hayo mengine unayataka mwenyewe kwa kusikiliza wanasiasa kuliko kusikiliza haja ya moyo wako.
Wambie na wenzako huko...Kazi ya serikali inafanyika kisawasawa hayo mengine mnayataka wenyewe,,,