Itakuwa una E mbili wewe sio bure.Naona umeanza kunishambulia mimi,badala ya kushambulia hoja.Unajua kukesha wewe?au unamaanisha kukesha club?unaongea kwa niaba ya nani?maana we si mkeshaji hata statements zako tu inaonekana ulipiga 360°form four.
Two principal pass(E) kuingia chuo inatumika toka muda mrefu sana...na aki base kurekebisha na kutoa watu ambao wapo kazini wana Principal pass 2 basi hata baba yako hatachukua mafao.
WATANZANIA TUNATAKIWA SASA KUDAI KATIBA,NA SERA YA ELIMU IJULIKANE(education Policy) HATA KWA KIONGOZI YEYOTE YULE ATAKAYEINGIA MADARAKANI ASIMAMIE TUNACHOKIAMINI NI SAHIHI.SIO HUYO KIONGOZI ASIMAMIE ATAKAYOONA YEYE.
Umeongea mengiii ila mi nakupa like kwenye kuunda katiba inayozingatia dira ya nchi inayotafsiriwa na sheria na sera ya elimu.unajua BRN(Big results Now) ilianzishwa kwa 7bu zipi?mimi nachotaka kusema,Serikali ina mipango mizuri sana.Suala la Vyeti feki(Fogery) ni sahihi kukagua bila limitation ya mwaka gani.
unaposema unajua watu walikua wana Div 4 na walienda chuo,ni kweli wapo hata mimi nawafahamu wengi tu.Ila waliingia kwa mfumo Gani?Kama si Serikali iliyopita iliweka huo mfumo.Hii serikali iliyopo ni ya chama kilekile au wameingia wapinzani?..Contradictions ziko nyingii..
WATANZANIA TUNATAKIWA SASA KUDAI KATIBA,NA SERA YA ELIMU IJULIKANE(education Policy) HATA KWA KIONGOZI YEYOTE YULE ATAKAYEINGIA MADARAKANI ASIMAMIE TUNACHOKIAMINI NI SAHIHI.SIO HUYO KIONGOZI ASIMAMIE ATAKAYO ONA YEYE NI SAHIHI.
Real....watu wamedharaulika sababu hiyo....mtu ana EE afuu anaenda sant joseph anatoka na honorouble first class mwenye one ya tatu mlimani katoka na second class......fharau zimezid.Haiwezekani tukeshe kupiga misuli,halafu wengine wanaingia vyuoni na EE mbili,hili halipo kabisa.Hawa ndio wanaosababisha wasomi wote waonekana hamna kitu.
Mama ndalichako kama kuna maiti zilizikwa huku uchunguzi haujakamilika fukua makubali mpaka tuheshimiane.
Wewe jamaa mnafiki kichizi yaaniKuhusu:Mchaka mchaka wa vyeti feki.
Mimi hili nakuunga asilimia 100%.Huu mchakato uendelee na yeyote atakayebainika basi sheria ichukue mkondo wake.
Ila sasa unapoenda mbali zaidi kubaini watu ambao hawana Direct entry ya kuingia Chuo utakua hutendi HAKI.maana ni serikali iliyopita ndo iliweka mfumo wa Foundation/Bridging Courses.Sasa nakaa najiulza ni nani ambaye anamakosa?hao waliopita through that way ni sababu ya mfumo ulioalalishwa na serikali iliokua madarakani.
Ushauri kwenye hilo ni kubadilisha/kutoa huo mfumo na kuanzia hapo.sio kurudi nyuma..maana ukisema urudi nyuma wapo watu watakaoji wale wanafunzi waliokua wanamaliza form six(Voda fasta) wanaenda kufundisha nao wakaguliwe wamefikaje hapo walipo.
Hii ni nchi yetu Sote,Toa mfumo uliokuwepo na sio kuwasaka waliopitia huo mfumo maana ukifatilia utaona walikopeshwa kabisa na Loans Board na wanatakiwa kurudisha hiyo pesa.
Mwisho kabisa:zoezi la vyeti feki liendelee kwa nguvu,ikiwezekana wekeni email address au special number ambazo wananchi watawatumia details za watu wao wa karibu ambao wapo BOT,NSSF,na wizara zote za serikali wakila mema ya hii nchi huku kina kayumba wenye divison 1 wanatembea kila kukicha na bahasha ya kaki wakitafuta kazi ambazo hazipo..wakibahatika sana wanapata za kwa wahindi.
Basi vyuo vyote vifutwe kibaki hicho cha mlimani unachokipigia Debe.Tuone kama litawezekana.Real....watu wamedharaulika sababu hiyo....mtu ana EE afuu anaenda sant joseph anatoka na honorouble first class mwenye one ya tatu mlimani katoka na second class......fharau zimezid.