Kwako Preta - Before & After

Sijui yuko wapi ngoja nimtafute aliko aje ajibu tuhuma hapa
 
jamani mtu si anamsaidia mkewe au?..kuna ule mradi wa Champion mnaujua?

Kuna kusaidiwa wakati msaidiwa anafanya kazi nyingine
Ila inaonekana hapo kama kuna amri fulani ya kufanya hicho anachotakiwa kufanya
 
Kuna kusaidiwa wakati msaidiwa anafanya kazi nyingine
Ila inaonekana hapo kama kuna mari fulani ya kufanya hicho anachotakiwa kufanya
ufafanuzi katika Bold mkuu....

au hayo ndio mambo ya Beijing?
 
hUU Utani wa ngumi!
Ngoja MtuChake aue mtu hapo!
 
....never done that to me! she iznt that type
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…